Wanawake na wanaume wenye magari

Teh,teh,teh,teh,Husna bana,ni kwamba;hayo uliyosema hapo ni moja ya madhara ya kimalezi ya watoto waliokulia kwenye familia iliyowafundisha kuwa utu wa mtu ni vitu,anapokua mkubwa akavikosa anakua hajiamini coz anajiona sio binadamu kamili,yaani hajakamilika mpaka awe na gari au mali.So uliyosema hapo ni maradhi ya kimalezi ambayo yamewathiri sana wanawake na wanaume pia,nikikuambia mimi sio mmoja wao utapata kazi sana kuiamini kauli yangu.Lakini jua tu kwamba mimi ni mwanaume ninaejiamini na ninajua thamani yangu iko ndani yangu haiitaji nyongeza ya chochote ili ikamilike,ilivyo tu imekamilika!Hayo mengine ni utashi na sio uhitaji,ninadili sana na uhitaji sio utashi!
 
nilikuwa sijui kwamba kazi ndio gari, yaani ukiwa na kazi tayari una gari. Nilikuwa sijui kama unaweza ukapanda kazi badala ya gari na kudrive mpaka unapotaka kwenda. Ahsante great thinker eiyer kwa kunijulisha hayo.

This is very funny!Ng'ombe ni maziwa au ukiwa na ng'ombe uwezekano wako wa kupata maziwa ni 180%?
 
Teh,teh,teh,teh,Husna bana,ni kwamba;hayo uliyosema hapo ni moja ya madhara ya kimalezi ya watoto waliokulia kwenye familia iliyowafundisha kuwa utu wa mtu ni vitu,anapokua mkubwa akavikosa anakua hajiamini coz anajiona sio binadamu kamili,yaani hajakamilika mpaka awe na gari au mali.So uliyosema hapo ni maradhi ya kimalezi ambayo yamewathiri sana wanawake na wanaume pia,nikikuambia mimi sio mmoja wao utapata kazi sana kuiamini kauli yangu.Lakini jua tu kwamba mimi ni mwanaume ninaejiamini na ninajua thamani yangu iko ndani yangu haiitaji nyongeza ya chochote ili ikamilike,ilivyo tu imekamilika!Hayo mengine ni utashi na sio uhitaji,ninadili sana na uhitaji sio utashi!

nafikiri swala la malezi linahitaji mjadala mpya. Kwa nini malezi hutupiwa kwa familia tu? Watu wa nje hawahusiki na malezi ya mtoto? Wewe mwenyewe mtoto unaplay nafasi gani katika malezi yako binafsi hasa katika kuchunga mienendo yako iliyo sahihi na isiyo sahihi? Tuache kuzisingia familia zetu pale watu wanapokosa maadili ambayo kwa namna moja au nyingine wenyewe ndio wanachangia na si malezi waliyolelewa.
 
Kipipi usipinge kwa kuwa wewe ni mwanamke ebu angalia rafiki zako wa kike wanaokuzunguka, angalia kwa jicho la kutaka kujua kweli!!

NGOSHA, wewe unasema hayo kwa sababu wewe ni mwanaume, nadhani tukiendelea na mjadala kwa kurefer jinsia ndo itapendeza zaidi!!!
 
Teh,teh,teh,teh,Husna bana,ni kwamba;hayo uliyosema hapo ni moja ya madhara ya kimalezi ya watoto waliokulia kwenye familia iliyowafundisha kuwa utu wa mtu ni vitu,anapokua mkubwa akavikosa anakua hajiamini coz anajiona sio binadamu kamili,yaani hajakamilika mpaka awe na gari au mali.So uliyosema hapo ni maradhi ya kimalezi ambayo yamewathiri sana wanawake na wanaume pia,nikikuambia mimi sio mmoja wao utapata kazi sana kuiamini kauli yangu.Lakini jua tu kwamba mimi ni mwanaume ninaejiamini na ninajua thamani yangu iko ndani yangu haiitaji nyongeza ya chochote ili ikamilike,ilivyo tu imekamilika!Hayo mengine ni utashi na sio uhitaji,ninadili sana na uhitaji sio utashi!

Sitaki kuamini kama wewe fikira zako zote zinakomea kwenye malezi ya familia tu!! Sasa suluhisho lako ni kwamba, tafuta mtoto wa kike(i don't know how)........mlee kama utakavyo then akikua muoe!!!
 
Kipipi,yes,ukweli ni huo mnabisha kwa sababu ya jinsia na ndo mlivyo,pia hapa suala sio mwanamke wala msichana suala hapa ni malezi,hautaweza kujua hili mpaka uwe muathirika,as long as wewe ni mtendaji huwezi kuuona ukweli!

Wewe ulishasema wanawake wana mambo ya ajabu ajabu na kwamba walikosewa kuletwa duniani! Kwa mantiki hiyo basi siwezi kubishana na wewe, na kwa sababu una allergy na wanawake basi mi nakuachia fikra zako kama zilivyo! Siku utakapopata psychological healing ndipo nitakapoweza kuwa na serious discussion na wewe kuhusiana na jambo kama hili!!! Siku ukioa halafu ikatokea mkeo akakukosoa, umwambie hivo hivo "kwa sababu wewe ni mwanamke ndio maana unabisha", nadhani itapendeza zaidi!!!
 
Eiyer unashangaza....
Yaani hutambui hata biblia imesema asiyefanya kazi na asile?
Sasa huyo mume jobless wa kazi gani?
 
Sitaki kuamini kama wewe fikira zako zote zinakomea kwenye malezi ya familia tu!! Sasa suluhisho lako ni kwamba, tafuta mtoto wa kike(i don't know how)........mlee kama utakavyo then akikua muoe!!!
Punguza jazba kipipi!!
 
Eiyer unashangaza....
Yaani hutambui hata biblia imesema asiyefanya kazi na asile?
Sasa huyo mume jobless wa kazi gani?
Inawezekana ndo yupo kwenye michakato ya kujiweka sawa katika ajira kutokana na mikwamo ya hapa na pale iliyotokea!!
 
Watoto wa kiume siku hizi hovyo sana, wanataka miteremko tu ndo maana utaskia 'natafuta jimama linilee...'
Heshima ya mwanaume kazi/kuwajibika...ebo!
Mtaishia kulia lia hivi hivi na kubebesha wengine lawama...

Kajisemea AshaDii, tunakoelekea ni kama wanaume hawatakuwepo! Tunashindana tu kupaka lipgloss na mawimbi na rasta za uzi vichwani
 
Back
Top Bottom