Samahani mkuu.
Ila nadhani uelewa wako ni mdogo saana.
Unaona sasa.. unakokimbilia.Ashkumu si matusi
Mkuu uelewa wako ni mdogo sana kuhusu wanawake,
hata hivyo ungekua na uelewa mkubwa ungeelewa nimeandika nini hapo juu..
Kijijini kwetu neno daby maana yake ni mwanume ambae sio ridhiki yani analiwa kiboga
Nakusikiliza weweAdimu.
fanya namna basi niache kukumiss.
Hapa hapa kwa siku zoteNdiyo kabisa.
Awali ya yote Za wapi kwanza?
Hahaha..sikua na Cha kumfanya zaidi ya kulaumuSiandiki kwa kuyaskia ila naandika nayopitia na niliyopitia.
Hujawahi kuahidiwa wewe? Vyote vilitelekezwa? Ulimfanya nini aliyrkuahidi?
Wewe kwa muda huo akiwa na mihasira na mishawasha yake mwambie ndiyo ninaenda kufanya unalotaka.Mkuu unanikumbusha kiburi na ubishi wa Emmy alikua hataki kushauriana yeye anataka ukubaliane na kila analokwambia
Hawaelewi ukiitika "ndiyo" una maana gani.Siku hizi naona uvivu kuandika hapa.
Nimesema sema "ndiyo" hata kama uliloliitikia ndiyo haliendi kutekelezeka.
Ni wanawake wangapi ukiwepo mnaishi na ahadi lukuki za wanaume waliowambia ndiyo mwisho hawajazitekeleza?
Huwezi ku -argue na mkeo kushindana nani atashinda.Kwa yeyote yule awe mwanaume au mwanamke.. Kila kitu ndio ndio ndio ndo ni nidhamu ya woga. Onesha msimamo wako / challenge if possible.
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke anayepiga kelele ukimkubalia anavyotaka.Inategemea na hizo arguments!!! Vile vya mwanamke anayoyoma nawewe mwanaume unayoyoma nyote mnaonekana hamnazo.. Na mwanaume utadharaulika endapo utabishana kuongea na mwanamke yeye juu nawewe upo.... Wee msikilize Weeeeeeee akimaliza atanyamaza.. Au kama una hasira anayoyoma wee ondoka zako badaeee kabisa najua kila mmoja atakua normal then muulize sasa kwa nia na njia nzuri tu..... Wanawake kuongea sana ni nature yetu... Wanaume hamuongei sana bali watu wa actions...
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa navyowajua wanawake,,ukiwa mwanaume wa ndio Basi jiandae kuwa msukule wake
Mwanaume akiwa mpole Sana kwa namna yyte ile lazima aendeshwe
Wanawake tunavyopenda kuendesha ,,,ukiwa Domo zege Sana mbona utaisoma namba[emoji2]
Kuweni wapole ila msizidi kiwango...hiyo ndio kila kitu mbna mtateseka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true yaani Kama Kuna kipindi kibaya Cha kumzingua Mwanaume Ni ukimkuta amechoka yaani hapo lolote linaweza kutokea mbaya zaidi Wanawake hawaelewi kabisa hii ishuWe are different yes, but inabidi kila mmoja ajue nafasi yake kwa muda tofauti.
Namaanisha kama Baba/Mama, Mume/Mke, Kaka/Dada.
Huwezi kusema eti mumeo awe mtu wa ndio ndio kisa umekasirika. That's bullshit. Let your man keep his position kama kichwa cha familia. Ishi na mumeo kiakili zaidi. Men can be very unpredictable especially the quiet ones. Walk away and calm your demons.
Mfano, anapoingia nyumbani ukaanza kufoka anaweza tu kukuitikia because the poor man is damn tired kugombania daladala etc, famished amekosa hata muda wa kula mchana. Anataka tu ale, alale apumzike akili. So hapo watasema yes to anything utakachosema.
But wait until his mind is free. Wait until amekaa na washkaji zake wanabadilishana mawazo afu washkaji wenyewe wawe maboya. Hutaamini atakavyo badilika siku si nyingi.
So Daby hapa asiwadanganye mkaona Ndio Ndio eti ndo mumewini na mwanamme keshakuwa boya. Be very careful. Retreat your footsteps and treat your man with respect.