Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Jana jioni nilienda kumtembelea jamaa yangu kigamboni,tukiwa kwenye jengo la kungoja mtumbwi/pantoni nikawa nimekaa kwenye viti vilivyomo mle ndani karibu na sehemu ya kuingilia.
Hivyo nikapata fursa nzuri ya kuangalia kila anaeingia,leo pia nimefanya hivyo kule upande wa pili.
Asilimia kubwa ya wanawake niliowaona pale wana vitambi,tena vitambi vikubwa,wengi wakiwa ni mabinti wadogo na wa umri wa kati,yaani kati ya miaka 17-38. Wanawake hivi vitambi mnavitoa wapi?
Yaani matumbo makubwa utadhani ujauzito kumbe ni kitambi.
Hii ni hatari kwa kweli.
wee naona ulikuwa unatafuta mchumba ndo maana ukaona wanawake tu. KWA UFUPI SAHVI VITAMBI NI TATIZO KWA VIJANA WOTE VIJANA WAKIUME SIKU HIZI WANAHEMEA JUJUU VITAMBI NA HAWAJAOA WALA KUOLEWA