Wanawake na vitambi

Wanawake na vitambi

Ke wengi wanaamini mazoezi ni kwa wanaume.

Yani unaweza kumkuta ke ana kitambi, afu maziwa yapo apo apo, kifua apo apo, tumbo apo apo, makalio apo apo na mgongo apo apo.

Sana sana kwa ke vibonge, kujisafisha wenyewe mtihani, fulu manongo, fulu kiharufu. Afu anabana pua na kusema hakuna waoaji!

Teh teh teh!

Hahahahaaaa.
 
offer za kitimoto na savanna!!! siku hizi wanamaliza kilo nzima na ugali, sijui wanamkomesha nani..

Kweli aisee kuna siku nilimpa ofa binti mmoja nikamuuliza kwanza unakula kiasi gani akaniambia kilo moja inatosha....duuh mbona nilichoka
 
Bia za bure, michemsho, kitimoto,

Vitambi havitakaa kuisha
 
images

'in the middle of difficulty lies opportunity'...........ha ha ha ha ha hio ndio SIGNATURE yako Tyta
 
Watanzania Tunafanya mazoezi Usiku, unabanjuka, Miguu juu, piga goti, chuchumaa, piga sarakasi huku na kule. Toooshaa
 
Navichukia sana hivo vitambi vya wanawake yaani wanachukiza sana hata wakivaa nguo nzuri vipi
 
Kweli aisee kuna siku nilimpa ofa binti mmoja nikamuuliza kwanza unakula kiasi gani akaniambia kilo moja inatosha....duuh mbona nilichoka

hahahah hapo anasema jicho kavu bila hata aibu, yani siku hizi tunatoka nao droo... hawavungi kabisa
 
Ke wengi wanaamini mazoezi ni kwa wanaume.

Yani unaweza kumkuta ke ana kitambi, afu maziwa yapo apo apo, kifua apo apo, tumbo apo apo, makalio apo apo na mgongo apo apo.

Sana sana kwa ke vibonge, kujisafisha wenyewe mtihani, fulu manongo, fulu kiharufu. Afu anabana pua na kusema hakuna waoaji!

Teh teh teh!

Duh......mkuu hii sasa kali...hapo kwenye lijitambi ndo kuna kila kitu.....!!kifua hapo hapo...mgongo hapo hapo....kalio hapo hapo, basi sio ajabu na mapaja yakawa hapo hapo
 
Unajifarij kwa kauli za kujihakiki bt inside you hukipend na unataman mno kukitoa sema tu mission impossible...bt kiukweli kinakukera na kukuondolea kujiamin

Wallah sina hata shaka kabisa.....,wala sijawahi pata inferiority feellings on it....kingekuwa kinamkera mpenzi Wangu hapo shida.....lakini hana tatizo
 
Back
Top Bottom