Kwenye maisha lazima utahitaji kuvijua vitu fulani kwa undani (Udadisi) ili kupunguza mawazo juu ya hicho kitu na kukielewa vizuri,
Leo naomba kufahamu juu ya uvaaji wa pete mbili kwa akina mama (ya Uchumba na ya Ndoa).
Naona wote wanaanza kuvaa ya Ndoa halafu ya uchumba inafuatia, wakati inaanza kuvishwa ya uchumba na Mchumba wa mtu husika kisha inafuatia ya ndoa ambayo inavishwa na padre/shehe/afisa ndoa kama nia bomani.
Naomba kujua hilo tu.