Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,135
- 6,920
- Thread starter
- #21
hv kama hua wanaona haya kwann wacwe wanatukatalia tukajua moja kuwa haiwezekani?huwa sifagilii kabisa kuzima...hawa wadada acha tu..ila huwa nawasha taa kama chumbani kuzima nafungua mlango nawasha taa sebule nawasha spo mwanga unakuwepo...yani giza kabisa hapana
Sent using Jamii Forums mobile app