Wanawake na suruali

Wanawake na suruali

surual ndo vaz la heshima kama hamjui! hata ukidondoka hapo wa2 inakua rahic kukubeba! japo sket nayo ina hadhi yake na kwa wakat wake.... m navaaga sket kanisani 2, kwingne kote surual,

Kama suruali ndo unapenda basi jitahidi zisiwe za kubana.
Na je umewahi kufikiria ni vazi gani utavalishwa ukiwa unasindikizwa kwenye safari yako ya mwisho hapa duniani??????
 
Habari zenu wana Jamiiforums,

Nina swali ambalo linanitatiza kwa wanawake na mabinti.Kwa miaka ya karibuni wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakipenda sana vazi la suruali na kila mwanamke ili ajione amependeza lazima atupie suruali, swali ni kwamba suruali ndio zinafanya mpendeze sana tofauti na mama na bibi zenu? Na je hapo mnautukuza mfumo dume ambao mmekuwa mkiupinga kwa muda mrefu au? Kwanini suruali ndio limekuwa vazi lenu pendwa sana?

Wakibanwa Na Mikojo au Wakiwa Wanataka Kubadilisha ( Malaika ) Na ( Kila Wakati ) INAKUWAJE?
 
Mi ndo nazipenda kuvaa coz na look good my body and everything why hiding na napendeza sana tu
ni kweli kabisa... ila kupangilia mavazi nahisi ni kpaji au..?maana kuna namna mkipanga huwa mnapendeza mno...tunaishia kula kwa macho tu lkn inapendeza sana
 
Suruali ni vazi la heshima, tabia ya mtu ni siri yake . Mavazi yote yakivaliwa kwa staha hupendeza kwa mvaaji . Ila tukumbuke wengine hata wakivaaje bado maumbo yao hayafichiki/hayasitiriki kwa hiyo tumeumbwa tofauti.
 
.....next topic kuhusu W'wake mtatupangia jinsi ya kutembea, jinsi ya kufikiri na vyakula gani vya kula.....
 
surual ndo vaz la heshima kama hamjui! hata ukidondoka hapo wa2 inakua rahic kukubeba! japo sket nayo ina hadhi yake na kwa wakat wake.... m navaaga sket kanisani 2, kwingne kote surual,

Kwa nini kanisani unavaa sketi wakati ilitakiwa uvae suruali ambalo ni vazi la heshima au kanisani hapastahili heshima
 
daaaaah.wanawake kweli tuna shida kila siku wanaazisha mada mpya ili tu tuonekane hatujiheshimu na kujithamini...MAVAZI hayawezi kutoa jibu kamili la tabia ya mtu.kila mtu anapenda kuvaa vile aonavyo yeye ilimladi tu anajisitiri yeye na maungo yake.wapo naopenda kuvaa sulual na zinawapendeza sana kuliko hata wakivaa sketi.na wapo wanaovaa sketi na magauni yanawatoa kuliko suluali...cha muhimu ni kuzingatia mazingila.kazi uifanyayo na je nguo uliyovaa inakusitili..siokila ukipita kila mtu akuangalie wewe mpaka unaona aibu.. swala la mavazi hata kwa wanaume pia linatofautiana..wapo waopenda kuchomekea wengine hawapendi...wapo wanaoenda jinsi wengine wakivaa kituko...MTAZAMO TU..
 
Sio wote bana miss chagga hapo mwanzo kaelezea...wengine tukivaa sketi lazima iwe mini haswa hadi mstari wa utamu uonekane sasa hapo tena mtalalama...bora suruali kwakwel hata tukikaa vibaya hakuna shida

sawa kabisa tunanyanyua miguu juu... wakionaga chupi hawa hulalama mpka basi
 
Back
Top Bottom