Wanawake na suruali

Wanawake na suruali

blogger-image-978961660.jpg

Hapa salute
Nimeipenda hii
 
surual ndo vaz la heshima kama hamjui! hata ukidondoka hapo wa2 inakua rahic kukubeba! japo sket nayo ina hadhi yake na kwa wakat wake.... m navaaga sket kanisani 2, kwingne kote surual,

Kama unavaa suruali ili kukuwezesha kunyanyuliwa kirahisi na watu bila shaka utakuwa na EBOLA au KIFAFA, ni hatari sana, wahi hospitali.
 
ni tabia za kimalaya. mwanamke anyejitambua hawezi kuvaa suruali tena ya kumbana. unakuta mwanamke mwengine ana zigo la maana nyuma anavaa suruali ya kumbana mpaka chupi inaonekana. basi ni mitahani tuliyonayo sisi wanaume.

Mwanaume mwenye akili yake timamu anawadharau tu, binafsi sipendi mwanamke anayejirahisisha kwa mavazi.
 
I navaa kila kitu bt place n tym.....sio naenda kwenye mishe na sketi...
Khaaa kuhangaika na daladala na sketi ht siwezi

Kwahiyo kuhangaika ndio kunakufanya uvae salawiri? vipi mambo yako yakinyoka walau ukapata ka-bebiwoka ka kukumuvuzisha places, je utaacha kuvaa hizo salawiri?
 
Kwahiyo kuhangaika ndio kunakufanya uvae salawiri? vipi mambo yako yakinyoka walau ukapata ka-bebiwoka ka kukumuvuzisha places, je utaacha kuvaa hizo salawiri?

Sana tu
Nipo kwenye bebiwoka fresh na visketi vyangu.

Halafu automatically mtu unajikuta tu unaacha.kuvaa trouser...lyk nilipokua chuo ckuwa na sketi ht 1 bt tangu nimemaliza trouser ht 5 hazifiki ni mwendo wa gauni na sketi. ...taratibu suruali naziacha nakuta Sijisikii kuvaa most of the tym!
Jamani suruali sio umelaya
 
Kweli kama mtu umejaliwa umbo zuri bana kuna suruale mtu ukivaa unapendeza mno asikwambie mtu sisi wanaume ndo tunaona..alafu zinakufanya unaonekana sharp, na flexible

Mi ndo nazipenda kuvaa coz na look good my body and everything why hiding na napendeza sana tu
 
Habari zenu wana
Jamiiforums,

Nina swali ambalo linanitatiza kwa wanawake na mabinti.Kwa miaka ya
karibuni wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakipenda sana vazi la
suruali na kila mwanamke ili ajione amependeza lazima atupie suruali,
swali ni kwamba suruali ndio zinafanya mpendeze sana tofauti na mama na
bibi zenu? Na je hapo mnautukuza mfumo dume ambao mmekuwa mkiupinga kwa
muda mrefu au? Kwanini suruali ndio limekuwa vazi lenu pendwa sana?

suruali zuri ila kitu gauni asikwambie mtu hasa likiwa fupi kiasi dah
 
heeeee we vipi....Yaelekea huna picha za mabibi wa zamani waliovaa suruali BWANGA...na masan'gogo







Habari zenu wana Jamiiforums,

Nina swali ambalo linanitatiza kwa wanawake na mabinti.Kwa miaka ya karibuni wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakipenda sana vazi la suruali na kila mwanamke ili ajione amependeza lazima atupie suruali, swali ni kwamba suruali ndio zinafanya mpendeze sana tofauti na mama na bibi zenu? Na je hapo mnautukuza mfumo dume ambao mmekuwa mkiupinga kwa muda mrefu au? Kwanini suruali ndio limekuwa vazi lenu pendwa sana?
 
Kweli...Tena wanaovaa dira unakuta kalichomekea halafu ndani hana hata nguo ya ndani...

au kavaa kanga moja hana kitu ndani

Au kavaa baibui hana kitu ndani...hapo chacha...Bora aliyevaa suruali...

Wooote tuu siku hizi ni MALA.....usimjudge mtu kwa mavazi..






Kuna uhusiano gani kati ya kuvaa suruali kwa mwamke na umalaya?

Umalaya ni tabia ya mtu.

Wapo waonaovaa baibui na max gawns ni malaya wa kutupwa
 
Sana tu
Nipo kwenye bebiwoka fresh na visketi vyangu.

Halafu automatically mtu unajikuta tu unaacha.kuvaa trouser...lyk nilipokua chuo ckuwa na sketi ht 1 bt tangu nimemaliza trouser ht 5 hazifiki ni mwendo wa gauni na sketi. ...taratibu suruali naziacha nakuta Sijisikii kuvaa most of the tym!
Jamani suruali sio umelaya

Nilikuwa nakuonaga pale chuo.
 
Back
Top Bottom