Wanawake na suruali

Wanawake na suruali

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habari zenu wana Jamiiforums,

Nina swali ambalo linanitatiza kwa wanawake na mabinti.Kwa miaka ya karibuni wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakipenda sana vazi la suruali na kila mwanamke ili ajione amependeza lazima atupie suruali, swali ni kwamba suruali ndio zinafanya mpendeze sana tofauti na mama na bibi zenu? Na je hapo mnautukuza mfumo dume ambao mmekuwa mkiupinga kwa muda mrefu au? Kwanini suruali ndio limekuwa vazi lenu pendwa sana?
 
no new under the sun kukataza suruari sawa na vita ya wamarekan na wa viethnam mmarekan akiua mmoja wa viethnam wana kuja mia mbili . sasa ni kuacha tu ila chunga nduguzo wasingiwe na pepo huyu.
 
Kam vitu huelewi kaa kimya ,unaelewa maana ya jinsia au inaandika kwa sababau ulisikia mkeo anatamka! Mavazi ni utamduni tu hauna uhusiano na jinsi ya mtu ,kwanini mwanaume wa Kisukuma akisuka ataonekana wa ajabu ,lakini Masai sawa! Mbona Yesu alivaa Kanzu ,lakini kwa kuwa utamaduni wa kizungu ndio uliiteka imani ya Kikristo leo hii makanisani watu wanavaa Kizungu! Kwani Wswazilnd wanaume wanajfunga kanga ni wajinga .Kuna Wskotish wanaume wanavaa Sketi !
Amelaaniwa avaaye mavazi yasiyo ya jinsia yake
 
5437424.jpg
5455218.jpg
 
ni tabia za kimalaya. mwanamke anyejitambua hawezi kuvaa suruali tena ya kumbana. unakuta mwanamke mwengine ana zigo la maana nyuma anavaa suruali ya kumbana mpaka chupi inaonekana. basi ni mitahani tuliyonayo sisi wanaume.
 
Back
Top Bottom