64Bits
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 961
- 565
umeongea kweli kabisa, muda wa kusimama mahali mpaka mvua iishe ndo uende kituoni unautoa wapi. Unawaza si bora uende uwahi home utaoga ujikaushe. Halafu na huyo mwanaume ndo uwe unamrudia saa nne ya usiku kwa siku tatu tu za mvua utaona atakavyonuna. Akichelewa yeye ni sawa...mwanamke siku zote anakuwa anawaza majukumu yake ya nyumbani huo muda wa kujificha mvua bora awahi nyumbani akategeshe ndoa zake ajichotee maji awahi watoto wake usikute wanacheza kwenye mvua, aanue nguo za watoto wake alizofua tangu asubuhi zisilowe nk ndio maana wengi wanapenda kusema mwanamke anapenda kunyeshewa







