sasa si mpaka awe na ------ ...we mtu kapigwa pasi hata anyeshewe mvua ya mawe utafaidi niniSa kumbe raha yake unajua, unavunga tu eeeh?
Mi sijawahi kabisa kufaidi kwa kuwaona hao Raia wamelowa...matumbo kama mitura!
sasa si mpaka awe na ------ ...we mtu kapigwa pasi hata anyeshewe mvua ya mawe utafaidi nini
usimame wima kiaje
Sa kumbe raha yake unajua, unavunga tu eeeh?
Usinambie hadi leo hujawahi kufaidi kuona mtu kaloana na mvua...
sasa si mpaka awe na ------ ...we mtu kapigwa pasi hata anyeshewe mvua ya mawe utafaidi nini
waaapi....madem wenyewe kama machinja mbwa!Ha ha ha kwendraaaa
waaapi....madem wenyewe kama machinja mbwa!
Nikiwa na hamu ya kuwaona walio loa namwagia wangu maji na kanga yake moko nampulizia dawa kisha navunga zangu, hamna udasu!
Sidhan kama dhamira ya wanaolowa ni kuwatamanisha wanaume ili wawaangalie..
Evelyn Salt, nn kinachopelekea kupenda uloweshwe ??!!
naona umejiunga na Mzee yusuph....maana yake?Aaaah shauzi tu huna lolote....