planexboi
Member
- Aug 5, 2021
- 45
- 232
Natumaini mko salama
Huu msemo unazidi kushika kasi sana mitaani, nimekuwa nikisikia wadada wengi nyakati tofauti tofauti wakidai hawapendi mwanaume mweupe.
Kwa maana nyingine wanatuaminisha sisi weusi ndo tupo kwenye chat.
Cha ajabu hao hao wanawake ukipiga nao picha wataweka kila aina ya filter uonekane mweupe.
Hii imekaaje?