Wanawake na mikopo

Tunatunzana kwenye kitchen party. Wait, Kwahiyo mleta mada ametuchoka sisi wateja wake au hatutaki tena. Mbona anahamasisha tuwezeshwe kiuchumi, sasa atapata wapi wateja tena?
Kumbe ndio mnapotumia hela zenu kwa wingi.

Mleta mada anawaonea huruma atawadai na kuwachukulia mpaka udoti wa kanga.
 
Asante shem,yaani ilifikia kipindi dukani kwangu nakuona kama jela,Namshukuru sana kipenzi changu alinilipia ila kwa mikwara asisikie tena nakopa kama nina shida nimwambie.
Kipenzi chako huyu huyu nnaemjua? 😎

Kuna muda wanawake mnajiingiza kwenye mahangaiko na matatizo wenyewe wakati msaada upo ila hamsemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…