Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

Nisipofuta namba niki mute, nitajikuta nashawishika kuangalia jee Leo ana jipya gani.
Dawa ni sisevu kabisa namba hivyo sitajua kama kaweka au lah.

Kuna mwanaume/mvulana nilikuwa nimesave namba yake daah. Yaani anavijembe vya ajabu tena anatumia maandiko kabisa vya vitabu vya dini. Kila siku Mara adui zangu mtaangamia kama moto wa nini sijui, Mara alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani, Mara Mungu ameshasema Yes wewe ni nani hadi useme No..,Mara Mungu pigana nao wanaopigana na Mimi....
Mara mtapigana na Mimi lakini hamtashidaaa.

Nikaona hizi siyo aina ya vitu ninavyopenda kuviona nikafuta zangu namba. Maana unaweza kuta vijembe ni vyakwako haujui
Aisee! Una maadui wengi sana na wote malengo yao yanatimia
 
Hapo zamani zilitumika khanga, ila kwa sasa mitandao imewarahisishia kifikisha ujumbe, kwa hivyo wanaenda sambamba na takolanjiwa sorry teknolojia😀
 
Hapo zamani zilitumika khanga, ila kwa sasa mitandao imewarahisishia kifikisha ujumbe, kwa hivyo wanaenda sambamba na takolanjiwa sorry teknolojia
bora warudi kwenye kanga maana tunaona ujumbe na mengineyo
 
Mmhh kuna mahali wanakosekana vilaza kweli? Facebook sasa ndo usiseme kila mtu kule anajifanya mjanja kwanza sijawahi kuwa mpenzi wa Facebook tangu inaundwa nilishawahi kuitumia ila haikupita hata mwaka nikaiacha
Sio kujifanya wasomi. Vilaza hawapo kule
 
Mi nadhani tatizo ni hii mitandao imekuja wakati ambao si muafaka, maana yake imekuja (mitandao) wakati sisi bado hatujajiandaa kukabiliana na changamoto zake ikiwemo namna bora ya kuitumia na ndio maana hakuna privacy siku hizi na hakuna jambo dogo maana kila jambo linakuzwa na social medias.
 
Mmhh kuna mahali wanakosekana vilaza kweli? Facebook sasa ndo usiseme kila mtu kule anajifanya mjanja kwanza sijawahi kuwa mpenzi wa Facebook tangu inaundwa nilishawahi kuitumia ila haikupita hata mwaka nikaiacha
Miaka ya 2012 kurudi nyuma Facebook ilikiwa poa sana.
Hata app sina kwa sasa. Ila naingiaga kupitia browser mara moja moja. nina marafiki wachache ninao wafahamu tu. Mtu akiniomba urafiki kama simjui huwa sikubali.
 
Ah mi ilinishinda kwa kweli, kwahiyo wewe hata jf pia unatumia browser?

nzuli kubwa
Dogo! Kwa hayo maneno yako natamani tubadilishane no za simu. Ili niangalie status zako tu( na sio kwa jambo lingine) Kwa experience yangu hii tabia ya vijembe wanayo wanawake wengi(>99%)hasa ambao bado hawajaolewa, siamini kama uko kwenye <1%
 
Ah mi ilinishinda kwa kweli, kwahiyo wewe hata jf pia unatumia browser?
App nilikuwa naipenda ila ina tatizo la notification. Nimeamua kurudi kutumia browser.
Ila napendeleaga zaidi browser kwenye vitu vingi. Sionagi haja ya kuwa na utitiri wa app utaokumalizia bando wakati kitu unaweza kubrowse.
I
 
Hivi kumbe browser inasaidia kupunguza matumizi ya bundle? Aisee mimi jf browser huwa inanitia uvivu kufungua kurasa moja moja za comments

Naonaga bora app tu comments zote ya kwanza hadi ya mwisho unazikuta zipo sehemu moja sema tu ni vile kuna vitu kwenye browser vipo ila kweye app havipo na ndo hicho kinachoipa credit browser yaani app inahitaji maboresho kwa kweli
 
Ukiwa na utitiri wa app zinaongeza uzito kwenye simu. Halafu app hata kama huitumii huendelea kufanya kazi background. Ndio maana unapokea notification.

Pia app ya jamii forum haina features nyingi kama ukiifungua kwenye browser kama ulivyosema hapo.
 
Yeah hilo ndo tatizo la app
Ukiwa na utitiri wa app zinaongeza uzito kwenye simu. Halafu app hata kama huitumii huendelea kufanya kazi background. Ndio maana unapokea notification.

Pia app ya jamii forum haina features nyingi kama ukiifungua kwenye browser kama ulivyosema hapo.
 
Why do you think I am none of those in that 1% and how do you determine those who are in the 1%?

Where did you conduct your research and how did you get your data?

What was your population and what was your sample size?

Which method did you use to collect your data and which formula did you use to calculate your sample size?

Discuss in not less than 10 points and 10 pages including introduction and conclusion (20 marks).

I wish you all the best.
Dogo! Kwa hayo maneno yako natamani tubadilishane no za simu. Ili niangalie status zako tu( na sio kwa jambo lingine) Kwa experience yangu hii tabia ya vijembe wanayo wanawake wengi(>99%)hasa ambao bado hawajaolewa, siamini kama uko kwenye <1%
 
sikua mtundu nlikua nimetoka skuli boding..nkafikia kwa ndugu walokole

walokole wana kalifestyle kao fulani hivi basi tu si vizuri kuwasema saaana tunaheshimu imani ya mtu mi nadhani walikuwa wanataka watunze mahusiano mazuri na familia yako sababu ingetokea ndivyo sivyo na vile umetoka skuli umekuja duniani nadhani isingekuwa picha nzuri.. bora hata wewe ulijua mapema namna ya kuelezea maumivu yako
 
Back
Top Bottom