Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

Na bado tutaweka sana..wakati mwingine huwezi mwambia mtu lake neno..so status zinatusaidia ukiona zinakuuma pole au badirika..
 
Sasa ninyi mnaotumia browser ndo mnakosa mambo mazuri kama haya, in the app you can pm anyone at anytime without restrictions. data
 
Na bado tutaweka sana..wakati mwingine huwezi mwambia mtu lake neno..so status zinatusaidia ukiona zinakuuma pole au badirika..
😂😂😂😂😂

Leo umetupia vichambo vingapi!??
 
Yani kuna raia kupitia status zao wanazoweka huko mitandaoni na kwenye wasup zao unajua kabisaa hali anayopitia kwa wakati huo,.huna haja ya kumuuliza kwa jinsi alivyojidadavua,.hasa mahusiano yao yakienda mrama😂😂😂woii utamsikia mtu "kwa hilo hujanikomoa nimempata mwingine natanua" lol😝😝😝
Naunga mkono hoja, hadi saa nyingine unajiuliza 'Anatanua nini cha kujisifia? Inamaana anajisifia kwa kubadilisha watanuaji.
 
So tunafanyaje!!?
 
oohh so I guess I should have asked "are you serious?" first.
U can not ask "ar u serious?" bila kuwa serious .. the correct statement to check whether someone is serious or not (when you ar not serious) is "u cant be serious".
 
U can not ask "ar u serious?" bila kuwa serious .. the correct statement to check whether someone is serious or not (when you ar not serious) is "u cant be serious".
oohh so I guess I should have said "you can't be serious." first.
 
Hamna kitu nachukia kama mtu anayeweka profile picture ya "vijembe" au whatsup status. Hata kama hanichambi Mimi.

Nikiwa nime save namba yako siku nikaona umeandika maneno ya ajabu ajabu, kama vile majungu majungu huwa naifuta ili nisione.

Ni ushamba na utoto na ulimbukeni.

Halafu subiri...! Inamaana na katika hili umeona wanawake tuu ndiyo huwa wanaweka hizo status za kijinga? Wanaume hawaweki? Au umemaanisha za wanawake tuu ndiyo zinakera? Za wanaume ni asali????????
Hile status yako ya juzi mhmhhh
 
Kwa mtu anaejitambua,msomi aliepitia malezi bora kabisa hawezi kuwa na muda wa kutuma vijembe status
 
ukikuta status zisizo na kichwa wala miguu na ukaingia na akubali tumia DUME condom
 
🙏🙏🙏🙏 Nani sijui nimesahau alisema la moyoni hupozwa na ulimi!

Yaani hata kama una uhakika ni cha uongo ila likikuzidia ukilitoa unajikuta km umetua mzigo flani
 
Back
Top Bottom