Nisipofuta namba niki mute, nitajikuta nashawishika kuangalia jee Leo ana jipya gani.Why ufute namba? mute status
Tajiri hanuniwi.
Yeah ni kweli sio wanawake tu sikuhizi wanaume nao hawapo nyuma; mfano ni type za kina diamond bingwa wa mipasho na bado watu wanampongeza kwa mipasho yake na wapo wengi tu, si kina Dada pekee, sijui ndio mambo ya haki sawa kwa wote
Dawa ni sisevu kabisa namba hivyo sitajua kama kaweka au lah.
Kuna mwanaume/mvulana nilikuwa nimesave namba yake daah. Yaani anavijembe vya ajabu tena anatumia maandiko kabisa vya vitabu vya dini. Kila siku Mara adui zangu mtaangamia kama moto wa nini sijui, Mara alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani, Mara Mungu ameshasema Yes wewe ni nani hadi useme No..,Mara Mungu pigana nao wanaopigana na Mimi....
Mara mtapigana na Mimi lakini hamtashidaaa.
Nikaona hizi siyo aina ya vitu ninavyopenda kuviona nikafuta zangu namba. Maana unaweza kuta vijembe ni vyakwako haujui





