Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
UE umemaliza lini?![]()



unaniuliza habari za UE mwaka huu? Mkuu unanichukuliaje? Watu tumemaliza vyuo tangu enzi za Mkapa huko hata Kikwete hafikirii kuingia madarakani ndo unaniuliza leo? Haki nimeishiwa nguvu hata kama siyo kosa lako hukujua ila umenishangaza khaa






