Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

Hamna kitu nachukia kama mtu anayeweka profile picture ya "vijembe" au whatsup status. Hata kama hanichambi Mimi.

Nikiwa nime save namba yako siku nikaona umeandika maneno ya ajabu ajabu, kama vile majungu majungu huwa naifuta ili nisione.

Ni ushamba na utoto na ulimbukeni.

Halafu subiri...! Inamaana na katika hili umeona wanawake tuu ndiyo huwa wanaweka hizo status za kijinga? Wanaume hawaweki? Au umemaanisha za wanawake tuu ndiyo zinakera? Za wanaume ni asali????????
Siku hizi unaandika magazeti...umemrithi amu
 
Tupo wengi..kuna mwaka nilisafiri kwenda njombe..nikapokelewa na kikund fulan hv ..basi njia nzima wakawa wanaongelea hizo status za wasap..yaan wenyewe wakiamka saa11 ni kianza kuchungulia jiran kaandika nn..yule kaandika nn..yaan hapo ilikua circle km ya watu 30 hv..hahaha..nikawaambia shida yenu nn hasa?wakasema weee!status mihimu..mtu anakufikishia ujumbe😂😂..sikumbuki lini kuweka status mm jaman..inakera mnoo
 
Hivi huwa mnahisi hao mnaowachamba ktk status updates zenu au fb posts wanasoma...

Okaayy...

Labda kuna mpuuzi umuvurugana nae... Then should we all know...!??

UnakutA tu mtu tanngu asubuhi anakushirikisha masahibu yake.. Like....

..... Mtasema sanaa....

..... Mungu yupo namiii.....

Mtaongeza nyingine..

Sasa umeulizwa.. Pumbavu. Si upambane tu na hali yako..

Ntarudi.
😀😀😀 Ndio maana sipendi kusoma status.
 
Sasa emoji zipo nyingi na siyo zote zipo romantic.
The rest unazitumia wapi ambazo haziwafai hao?

Nahisi sijuagi implication zake, lakini naona emoji ni fav kwa wanawake. Kwa sababu toka hata kabla ya emoji wanawake ndiyo walikuwa wamiliki wa vifupisha kama "k" akimaanisha okay au sawa.

Kwa hiyo imetengenezwa model ambayo inasaidia kufupisha maandishi kiufasaha.
 
Tupo wengi..kuna mwaka nilisafiri kwenda njombe..nikapokelewa na kikund fulan hv ..basi njia nzima wakawa wanaongelea hizo status za wasap..yaan wenyewe wakiamka saa11 ni kianza kuchungulia jiran kaandika nn..yule kaandika nn..yaan hapo ilikua circle km ya watu 30 hv..hahaha..nikawaambia shida yenu nn hasa?wakasema weee!status mihimu..mtu anakufikishia ujumbe😂😂..sikumbuki lini kuweka status mm jaman..inakera mnoo
Wanatumia status kinyume na lengo. Ilitakiwa status zionyeshe uko wapi au unafanya nini. Sio sehemu ya kutolea mapovu.

Mapovu katolee tweeter
 
Tupo wengi..kuna mwaka nilisafiri kwenda njombe..nikapokelewa na kikund fulan hv ..basi njia nzima wakawa wanaongelea hizo status za wasap..yaan wenyewe wakiamka saa11 ni kianza kuchungulia jiran kaandika nn..yule kaandika nn..yaan hapo ilikua circle km ya watu 30 hv..hahaha..nikawaambia shida yenu nn hasa?wakasema weee!status mihimu..mtu anakufikishia ujumbe..sikumbuki lini kuweka status mm jaman..inakera mnoo

Wanafungua status kuangalia kama wametumiwa Ujumbe au lah.

Inakera tena siyo kidogo.
 
Nisipofuta namba niki mute, nitajikuta nashawishika kuangalia jee Leo ana jipya gani.
Dawa ni sisevu kabisa namba hivyo sitajua kama kaweka au lah.

Kuna mwanaume/mvulana nilikuwa nimesave namba yake daah. Yaani anavijembe vya ajabu tena anatumia maandiko kabisa vya vitabu vya dini. Kila siku Mara adui zangu mtaangamia kama moto wa nini sijui, Mara alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani, Mara Mungu ameshasema Yes wewe ni nani hadi useme No..,Mara Mungu pigana nao wanaopigana na Mimi....
Mara mtapigana na Mimi lakini hamtashidaaa.

Nikaona hizi siyo aina ya vitu ninavyopenda kuviona nikafuta zangu namba. Maana unaweza kuta vijembe ni vyakwako haujui
ahahaha kiUkukweli leo cuteb umenifurahisha sana huto tu character ni kama mimi asee.. aina ya watu ni kama niliokuwa nimewasave nami hivyo hivyo kuna wakati unajiuliza hivi huyu maadaui zake ni kina nani?? kuna wakati wanalalamika kwanini watu wame hide view status.. kumbe hatuzitazami tu sasa nitakuwa vipi nazitazama wakati najua unachopost kila siku.. kuna watu nilikua nimewasave yaani wao hata kabla ujafungua status zao unajua huyu yeye kila siku huwa anaachwa hapa atakuwa analalamika huyu yeye ni mambo ya alliance in motion huyu yeye ni memes tu za sadcasm huyu yeye ni kupost mabango tu huyu yeye ni forex hasa hasa hawa wa forex na alliance kama unaview status zao na haujajiunga kwao mabango yao si ya mchezo mchezo unaweza sema hii dunia nitakufa maskini peke yangu. ogopa sana hawa wanaotumia vimaneno vya bwana bwana sijui tukwaya sasa hawa wengi wao wana fake tu all in all najua kila mtu ana namna anavyojua furaha yake anaipataje ndio maana hawa developer wa whatsapp wakaweka kasehemu ka hide status... ndio maana telegram itabaki kuwa ya wajanja siku zote
 
Nisipofuta namba niki mute, nitajikuta nashawishika kuangalia jee Leo ana jipya gani.
Dawa ni sisevu kabisa namba hivyo sitajua kama kaweka au lah.
Kuna mwanaume/mvulana nilikuwa nimesave namba yake daah. Yaani anavijembe vya ajabu tena anatumia maandiko kabisa vya vitabu vya dini. Kila siku Mara adui zangu mtaangamia kama moto wa nini sijui, Mara alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani, Mara Mungu ameshasema Yes wewe ni nani hadi useme No..,Mara Mungu pigana nao wanaopigana na Mimi....
Mara mtapigana na Mimi lakini hamtashidaaa.
Nikaona hizi siyo aina ya vitu ninavyopenda kuviona nikafuta zangu namba. Maana unaweza kuta vijembe ni vyakwako haujui
Futilia mbalii... Ulifanya vizuri.
 
umenena vema..mi liwai kufungiwa ndani getkali mwaka mmoja na miez 4 hakuna kutoka wala sina wa kuongea nae wa makamo yangu..yaan uwez amini nlikua naandika kwenye daftar machungu yangu yooote mbka naanza kulia uku naandika daftar lnaloa..nilikosaga mtu wa kumuelezea..
 
Halafu mara nyingi wanaowekaga hizo status za kutupiana vijembe whatsapp wengi wao ni wale ambao wanaandikaga maneno kama mm, ww, ss, xx, umekura, umerara, umeludi, umelizika, et al

Kwanza mimi mtu akiandika maneno kama hayo kuna namna ambavyo huwa namchukulia hata kama kiuhalisia hayuko hivyo ninavyomchukulia na akitamka maneno kama hivyo (hayo manne ya mwisho) ndo kabisaaaaa
Dogo! Habali yako
 
Status zina raha yake huwez ukazipita. Mie napenda za wanandoa wenye mgogoro aiseee utafahamu kila kinachoendelea ndani ya nyumba
Kuna demu mmoja naenda mmblok si mda..

Daily anapost.... I miss u.... I miss u ... I miss u...
Huyu mtoto nilishamla..nikimuomba game saivi hataki..
Najua kabisa ujumbe huo anaulenga kwangu.. Sasa sijui kama kweli kapata mtu mwingine au lah!
 
umenena vema..mi liwai kufungiwa ndani getkali mwaka mmoja na miez 4 hakuna kutoka wala sina wa kuongea nae wa makamo yangu..yaan uwez amini nlikua naandika kwenye daftar machungu yangu yooote mbka naanza kulia uku naandika daftar lnaloa..nilikosaga mtu wa kumuelezea..
pole sana ila na wewe sasa usijewafunga watoto wako kama ulivyofanyiwa wao... ahaah nadhani ulikua mtundu sana
 
Back
Top Bottom