Wanawake na matusi

Wanawake na matusi

Aya ayaa yaaaa tena hao me ndo wamezidi kutukana kuliko wanawake tena hadharani tusi la kiungo kilichowaleta duniani. Sikuhizi ngumu kumtofautisha mwanaume na mwanamke mana wanaume siku hizi ni wachache

Yaani ya kwao walaaa hawayaoni, wana boonge la tatizo, if only wangehangaika na ya kwao ingesaidia sana maana ni janga.
 
Sina maana wote but, wapo wa dzain hizo nawashaur na kuwakumbusha wawe na busara, wanaume pia wapo wanaotukana but m nimeamua kuzungia ladies tu,,
 
No way, hata umemkosea aseme au kuuliza bora ata anune afu kufoka but sio kutukana bana.. Unaweza shusha p hata kwa ndugu imagine unatukanwa mbele ya mdogo wako
 
Inawk akidnaemin asais apah ua iujuh amosuk

aujan anas ond anaam amesakin in asais ali anmah ozitat, anaam awimishehm anzaema iruziv, aelendeika oyvih idah oshiwm aynafata ignem iruzam
 
Back
Top Bottom