Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,496
- 112,038
kweli kabisa,yaani mibinti ya siku hizi ina midomo michafu...halafu shape zenyewe hawana,basi shida tupu!,
utakuta kajitu kembamba kama njiti,eti nako kanakutukana,dah!
😀😀teh...teehhh......😉
kweli kabisa,yaani mibinti ya siku hizi ina midomo michafu...halafu shape zenyewe hawana,basi shida tupu!,
utakuta kajitu kembamba kama njiti,eti nako kanakutukana,dah!
anuk aawkuj al asais ois ukuhHahaha uteznew aziluut awukuil ipaw adm etow augahcmuk isiar uyuh
Magufuli atawadhibiti.
Mwanamke mwenye mdomo mrefu lazima akatwe mdomo, hamna namna nyingineMmmh hii ungeiweka tu pande zote maana nowdays ni ngumu kutofautisha hizi jinsia, wanaume nao hawajambo kwenye hiyo sekta tena nahisi wanaongoza kwa matusi.
Kimsingi mwanamke hatakiwi kutukana kabisa, no matter what. Moja ya sababu, ni kuwa matusi mengi yanamu-abuse mwanamke. So, mwanamke anayetukana mara nyingi hajiheshimu. Kama hujiheshimu, hustahili heshima.
Rev. Paulo
Kuna makosa ukifanya ni bora utukanwe tu yaishe, maana ukinyamaziwa kimya inaumiza zaidi.
Mi ni bora nitukanwe kuliko apige kimya aisee.
Mmmh hii ungeiweka tu pande zote maana nowdays ni ngumu kutofautisha hizi jinsia, wanaume nao hawajambo kwenye hiyo sekta tena nahisi wanaongoza kwa matusi.
anuk aawkuj al asais ois ukuh