Wanawake na Make up

Wanawake na Make up

Ndugu Zangu hebu tuwaambieni Ukweli dada zetu wanaoamini katika Make up, kwamba inaongeza uzuri na mvuto.

1.Akikuegemea na uso kama una shati jeupe basi utakuwa kama umejiburuza ukutani.

2.Hawezi kucheka kwa uhuru, anacheka kizungu plus kujifuta futa na tishu

3.Akijisahau tu akapitisha mkono kujifuta Uso basi anakuwa kama kalambwa na ndama.

4. Inakuwaje Sura na mwili havifanani rangi?

5.Napenda natural skin, Yaani Mdada mwenye ngozi yake isiyo na ma cream..
Kwa kifupi Hakuna kinchonivutia na HIZO MAKE UP..

Mwanaume mwenzangu Wape ushauri dada zetu... Wanapendeza hawapendez?

Dah sahihi mkuu naongezea namba
6. Tukiwapiga kiss baada ya muda tunahalisha mno watuhurumie na hizo make up zao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wengine sura zetu zimeenda holiday bila makeup bado hatujaonekana vizuri.

Tusipangiane matumizi ya sura zetu.
 
Aki wanaume nyie ni wanafki
ukitumiwa picha ya Mtu akiwa natural na akiwa na makeup una sifia akiwa na makeup.

mnashusha self esteem za wadada wanaamini wanapendeza wakiwa na makeup.

Hamna lolote... Nyie wenyewe kila leo picha mnatuma na mafilter kibao...huko ni kukosa kujiamini wao wenyewe
 
Make up zenu nyie zipo kwenye wallet.

Bila nyekundu nyekundu zilizopangana hampendezi hata iweje.

Inawezekana havihusiani na mada lakini hatushindwagi kitu.

Lazima tujibu mapigo.

🤣🤣dada ulipo pata Pepsi baridi
 
Kazi yenu ni kutafuta hela, ambao hatutumii makeup tupo wengi.msimbazi ndo muhimu[emoji16]

Ujue kuwa natural ni very expensive hawa hawaelewi tu,ukitaka ufate skin routine yenyewe kabisa ili ngozi isiwe na madoa na iglow vizuri sio utani pesa inakutoka,mi naona wajitahidi kutafuta pesa tukiwaletea budget wasiweweseke
Kuna cleanser,toner,serum,day cream & night cream,scrub bado body cream hapo hujaweka vya nywele ebo!!!acha tujifiche kwa makeup mambo yakitushinda [emoji3]
 
but make up zingine zinazidi simple make up hain shidaa, unkuta mdada make up Kama kapakwa chokaa
 
Aki wanaume nyie ni wanafki
ukitumiwa picha ya Mtu akiwa natural na akiwa na makeup una sifia akiwa na makeup.

mnashusha self esteem za wadada wanaamini wanapendeza wakiwa na makeup.
Wanafiki kama nini wanaume usipojimake make unaonekana mshamba..anaweza asikutambulishe kwa rafiki na ndugu zake..jimake make weeh wanachangamka kama nini.mengine sio wakusikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom