Wanawake na Make up

Wanawake na Make up

Alafu hizo make up siku ya tafrija maalum(sherehe) ndio wengi wao huwa wanaboronga hadi wanaonekana vituko. Nimeliona hili sana unakuta mdada siku za kawaida anajimake up kiasi na anapendeza kwa kiasi fulani, kasheshe ni kuwepo na party wanajimake up mpaka wanakuwa kama wamejipaka matope.


Sent from my iPhone using JamiiForums
sura tangi manga ubaatike kuona mgongo sasa 😅😅😅😅😅 deiz people is too funny
 
utadhan watu wanashangilia arusi kumbe wanashangaa kuona kanguruwe kachangaa kakivishwa pete😅😅😅
Ujue nakujibu Sina mbavuuuu,Kilichofanyika nikapewa kazi nimpelekee tishu,Sasa tishu na jasho la kumwagika kila akijifuta zinabaki usoni ilikuwa tafrani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana, halafu nilikuwa naongea na mtu jioni hii akaniambia 'hivi mnadhani sisi wanaume tunapenda hizo makeup basii, ni vile tu hatusemi ila hazitufurahishi'..!

Enwei, siyo mtumiaji wa hiyo kitu, basi tu tulikuwa kwenye story, itabidi nishee naye link ya huu uzi na nimshauri tufungue kanisa maana ni Nabii.!!
Yaani wewe ulikuwa unapiga story na Nabii ?[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue nakujibu Sina mbavuuuu,Kilichofanyika nikapewa kazi nimpelekee tishu,Sasa tishu na jasho la kumwagika kila akijifuta zinabaki usoni ilikuwa tafrani.
tissue inazidiwa uzito tumeambiwa na wataamu apo juu kwamba makeup inaweza fika kilo 20 sasa ata lisura linakuwa linamuelemea nzito sanaa
 
Usiombe ukute kapakaa ile kitu inaitwa Foundation, utathani Nyumba inafanyiwa skimming na Gypsum pawder

Au mnasemaje mods wa JF
ngoja tusubir majibu kutoka kwa mods.juz nilikuwa na sister kuna dada mmoja alikuwa ivo nikamwambia iyo nayo nn 😅😅 akasema ni foundation.izo foundation kuna za mtu mweusi na mweupe sasa yele ampaka ya mtu mweupe wakati yeye ni lami
 
Hahaha hakika, Hatupend kabisa hzo mambo basi tu mnalazimisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana, halafu nilikuwa naongea na mtu jioni hii akaniambia 'hivi mnadhani sisi wanaume tunapenda hizo makeup basii, ni vile tu hatusemi ila hazitufurahishi'..!

Enwei, siyo mtumiaji wa hiyo kitu, basi tu tulikuwa kwenye story, itabidi nishee naye link ya huu uzi na nimshauri tufungue kanisa maana ni Nabii.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja huyo alikuwa analia kwenye harusi yake, ila sasa ndo hawezi kujifuta machozi na kitambaa, akawa anadokoa machozi na kucha za vidole, nilicheka sana, wanawake Make up zitawaua [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jichekeage tu ndugu.Juzi Kati Kuna ndugu yangu alikuwa anavishwa Pete.Akatoka Tabata kwenda Mikocheni kupakwa hayo makitu tu.Muda wa Pete umefika sijui ndo tashwishwi jasho Kama lote.Kwanza alianzia kuweka nyufa usoni.Kavishwa Pete akamkumbatia jamaa make zikabaki kwenye koti la buraza.Pata picha nyufa + make up imetoka mashavuni alibaki sura imevurugikaa,zimebaki kope utasema kanguruwe kachanga.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 comment yako imeniacha hoi..eti kanguruwe kachanga😂😂😂😂😂umejua kunifurahisha jmni
 
Binafsi sipendi mwanamke/msichana/binti anayejipaka hayo mavitu

Ukute kajipaka na kavaa wigi ukimwambia umependeza eti anaitikia AKHSANTE na uzuri unachangia [emoji1]
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom