Ni kudeka au ndo kawaida maana mie gari pancha nabadili mwenyewe, na vitu vidogovidogo. Au kwakuwa mie sina husbandi nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
hivi kwa nini mnapenda kuwadharau na kuwadhalilisha mama zenu. thank God mama angu anafanya zaidi ya hayo.Wanawake wao kitandani na jikoni
Hii inahusu wenye magari mie ngoja nipite kimya kimya
Hii inahusu wenye magari mie ngoja nipite kimya kimya
1. Kwanza, hongera kwa kuwa tumejua uanmiliki gari...
2. Pili, si kila jambo ulijualo wewe wengine wanafahamu na ndio maana hata vidole vya kiganjani havifanani...
3. Tatu, hivi siku hizi hufanyi tena mazoezi ya kukimbia hadi morocco?
njoo nikukodishe la kwangu ili na wewe uweze kuchangia...
Tupite wote..na mim hayanihusu
Nitapata wapi mie hela yakukodisha gari?Labda kama unipe lote lote......lol
...kwakuwa mie sina husband nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
Kama wataka lote lote inabidi usubiri kidogo nikuwekee oda toka japan...hapo vipi?
Yani hapa nilipo hadi nimeanza kutetemeka kwa furaha.Kwa hiyo unaniagizia gari gani?......lol