Wanawake na Magari!

Wanawake na Magari!

Mbaya zaid wanawake hata aina za magari hawazijui. Hata ukiwa na vitz utawang'oa lukuki
huko mbona umekwenda mbali mnoo mkuu yaani wewe nenda kwenye car rental kisha rent anza kupiga nayo misele watoto wakike watakutolea macho ile mbaya ..wala hawatotka kujua kuwa umelikodisha o wat..!!?
wewe hushangai madereva wanavyo wamega mpka basi na hpo magari ndio sio yao..tehh
Nina kaka yngu nidereva . .daaahha anawala kinoma kama Nyama za kisutu
 
Ni

Ni kweli kabisa kuna jamaa yangu alikuwa na Toyota collora, demu wake KAJA kuchukuliwa na dereva wa manispaa alikuwa akiendesha Gari ya Mkurugenzi STK mpya, demu alijuwa Gari yake huyo jamaa. Hii Dunia ina mambo. Ndo maana wahenga wanasema mvua in kama mwanamke inanyeshea hata kwenye mavi.
 
Ni kweli mkuu...but sio wanawake wote! Unajua nini inategemea na hulka yako!

Mimi toka nikiwa mtoto labda say 11/12 yrs, nikimuona mwanaume na Gari natengeneza picha fulani kuwa huyu anajisikia na gari lake na lazima ni kitombi! So nikatokea kuchukia mwanaume Mwenye Gari automatic!

Now ni mdada na na hizo Gari labda zaidi ya quality ya hizo za wanaume wanazosumbua wadada mjini na nimeyashuhudia! Wanawake wana wenge asee na ndinga, mi nshawahi mara kibao wadada wananizunguka wakifikiri ni Me ...kushusha kioo, daah walisambaa hao na mitusi mikubwa mikubwa juu yangu, haa haaa wanawake sisi!
 
sijui lakini... nikilinganisha home... mama alikuwa hatumii gari sana kama mzee... na mzee alimnunulia gari lake.. enzi tupo primary... mama hata kwenda nalo kazini anaona shida.. anadandia lift ya mzee...

nikiangalia dada zangu hata wao japo wameolewa wanakaa makwao.. ila wanapanda sana madaladala na bajaji.. kuliko hata gari zao..

wanawake wengi wana shobo na magari ujanani tu... ila wakiwa matured hawanaga shobo .. kwanza wabahili kuweka mafuta wanaona hasara.. wanakomaa na lifti za waume zao tu..

mwanamke anavyozidi kukua umri wake ndivyo anavyozidi kuwa mbahili wa hela zake hii ni tofauti na mwanaume.. ujanani anakuwa mbahili ila umri unavyozidi ongezeka anazidi kupunguza ubahili
Uko sahihi; lakini haya mambo hayako general, inategemeana na hulka ya mtu.
Malimbukeni wapo wa kiume na wa kike.Ni namna mtu alivyo tu.
 
Ni kweli mkuu...but sio wanawake wote! Unajua nini inategemea na hulka yako!

Mimi toka nikiwa mtoto labda say 11/12 yrs, nikimuona mwanaume na Gari natengeneza picha fulani kuwa huyu anajisikia na gari lake na lazima ni kitombi! So nikatokea kuchukia mwanaume Mwenye Gari automatic!

Now ni mdada na na hizo Gari labda zaidi ya quality ya hizo za wanaume wanazosumbua wadada mjini na nimeyashuhudia! Wanawake wana wenge asee na ndinga, mi nshawahi mara kibao wadada wananizunguka wakifikiri ni Me ...kushusha kioo, daah walisambaa hao na mitusi mikubwa mikubwa juu yangu, haa haaa wanawake sisi!
hahahaa sentensi ya mwisho nimecheka aiseee,.but swahiba .katk kundi LA wanawake 10 wasio baba ika na magari nimmoja tu
 
Ni

Ni kweli kabisa kuna jamaa yangu alikuwa na Toyota collora, demu wake KAJA kuchukuliwa na dereva wa manispaa alikuwa akiendesha Gari ya Mkurugenzi STK mpya, demu alijuwa Gari yake huyo jamaa. Hii Dunia ina mambo. Ndo maana wahenga wanasema mvua in kama mwanamke inanyeshea hata kwenye mavi.
hahaaaa dàaaahh
 
Haaa haa best..mtoa mada kaingia anga zangu, so mambo ni
hata mimi naona aiseee naja uniazime moja namimi ning'arishe nyota..cwajua 2018 ndio kwnza bado mbichi kama hint kigori ..huwenda ukiniazima nikajikuta natusua mwaka huu
 
Hahah wanawake na magari,uwe na muda wako tu utawatafuna mpaka uwakinahi.
 
Hiyo ya mwanaume anaweza panda dala dala mkewe ampe gari ni kweli kabisa mkuu ila hiyo ya mwanamke akimiliki gari anakuwa jeuri na dharau inategemea mtu na mtu sio wote
 
Sikuwahi kuona familia inakuwa salama pale mke anapokuwa na gari then Mme hana..

Hata kama umejenga ghorofa masaki huna gari mwanaume .. mwanamke akaanza kupata gari jua utadharauliwa japo hela ya mfuta na service utatakiwa kutoa mwanaume..

Mwanamke na gari bhasi tena ni kama magu na bashite
 
Back
Top Bottom