Wanawake na Magari!

Wanawake na Magari!

Mbona hata remote inavunja ndoa... Yangu ilitaka kuvunjwa na mto kitandani.

Hahaha!, remote sikatai kwa kweli kuna raha yake kuangalia channel unayopenda tena bila bughudha.
Lakini at least mtu anakuwa na choices, kama vipi akalale kwenye sitting room kwenye couch aangalie huko.

Sasa ndoa ikivunjika kwa ajili ya gari halafu?!..
 
unaongelea familia zenye TV mbili mbili wewe... yaani mke anataka kuangalia Shilawadu(weekend movie) mme anataka kuangalia BBC swahili.

Ikivunjika akili itarudi baadae. ila pia wenye gari zaidi ya limoja ni vigumu kugombana.
 
Hata mimi nikiwa na gari moja mke wangu ndio ataitumia siwez kukubali mke wangu ashikwe makalio kwenye mwendokasi, huo sio uanaume, kuhusu mwanamke kua jeuri anapomiliki gari niseme tu inategemea tu na hulka ya huyo mwanamke wapi wanamiliki ndinga za maana lkn nafasi ya mumewe ipo palepale..Mwanamke akiwa na hekma tu hata amiliki Darisalama wala hasumbuki
 
Hata kama ni gari moja Daby, yaani gari ivunje ndoa?!, ina maana gari ambalo ni kitu cha kupita ina thamani sana kwao kuliko ndoa?!
 
Yeeep!
 
unaongelea familia zenye TV mbili mbili wewe... yaani mke anataka kuangalia Shilawadu(weekend movie) mme anataka kuangalia BBC swahili..
Ikivunjika akili itarudi baadae. ila pia wenye gari zaidi ya limoja ni vigumu kugombana.

Teh!, Shilawadu huwa inanikumbusha Mkulu..

Na kwa gari, unless kama inatumika vibaya, sio kwa matumuzi ya kawaida.
 
MKUU, UKIWA NA GARI UNAWEZA KUTEMBEZA BAKORA HADI UCHOKE... YAN INAKUWA KAMA KTENDEA KAZ NA KIVUTIO.

KIUFUPI WADADA WA KIAFRIKA WANA SHOBO NA MAGARI..

NASISITZA WADADA, NA SYO WAMAMA
 
Hata kama ni gari moja Daby, yaani gari ivunje ndoa?!, ina maana gari ambalo ni kitu cha kupita ina thamani sana kwao kuliko ndoa?!
N, despite of the claims of feminism or 50/50 theories...

Women are attracted to men more dominant than they are,

You always[excemptions zipo] want to be inferior, hence, even if a Woman earns all the money[ndinga/gari kwenye ndoa] she could ever need, she will still only be attracted to a higher wage earner.[mwenye ndinga kali].

Darasa anakuambia what do you expect?
 
Hahaha, Daby it's not like we want to be inferior or put down when we want someone dominant as you said.
It's more of a SECURITY, that we want from a man even with the fact that we have everything we need.
We want to be, and feel Secure with a man.
Someone that' ll guarantee our safety and be there for us in case we're in need of something.
 
Hahaha, Daby it's not like we want to be inferior or put down when we want someone dominant as you said.
It's more of a SECURITY, that we want from a man even with the fact that we have everything we need.
We want to be, and feel Secure with a man.
Someone that who'll guarantee our safety and be there for us in case we're in need of something.
Tehtehteh... then..

She was searching more security [ndai kali].

na ukitafuta ulinzi wa Kimarekani kwenye Jeshi la Tanzania tegemea kuvunja ndoa.
 
Hahah!, you can put it anyhow but..
Security is important dear. And better to have enough for yourselves and for us...lol

A man, gotta be A man!
 
Back
Top Bottom