Wanawake na Magari!

Wanawake na Magari!

Mkuu hujanijibu sasa wakati anamletea mme wake nyodo...huyo Mme wake alikuwa anausafiri au hana kabisa?
Kama alikuwa nao ni wa aina gani?usikute alikuwa hana usafiri...
Mumewe usafiri alikuwa nao kuzidi wa mkewe
 
Kwangu mimi, the most best cars are:

1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
Passo vp haimo?
 
Mimi Nafikiri hii inategemea Kwa mfano Unakuta Mwanamke ana gari Vitz Au Paso halafu Mimi nina Rav 4 sasa jeuri itaanzia wapi?
Wanawake achana nao kabisa. Atakubembeleza wewe utumie vitz yeye awe na hiyo Rav4
 
sijui lakini... nikilinganisha home... mama alikuwa hatumii gari sana kama mzee... na mzee alimnunulia gari lake.. enzi tupo primary... mama hata kwenda nalo kazini anaona shida.. anadandia lift ya mzee...

nikiangalia dada zangu hata wao japo wameolewa wanakaa makwao.. ila wanapanda sana madaladala na bajaji.. kuliko hata gari zao..

wanawake wengi wana shobo na magari ujanani tu... ila wakiwa matured hawanaga shobo .. kwanza wabahili kuweka mafuta wanaona hasara.. wanakomaa na lifti za waume zao tu..

mwanamke anavyozidi kukua umri wake ndivyo anavyozidi kuwa mbahili wa hela zake hii ni tofauti na mwanaume.. ujanani anakuwa mbahili ila umri unavyozidi ongezeka anazidi kupunguza ubahili
Kuna hoja nzuri hapa. Kina mama ni lumbukeni wa magari japo huyachoka haraka sana kutoyapenda tena wakishayapata. Hii ni kinyume kwa wanaume, kadri anavyookaa na gari ndivyo anavyolevya na kushindwa kabisa kuliacha gari
 
Kwangu mimi, the most best cars are:

1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
mh hizo ni comfort si ndio....
 
Habari wana jamii! Kwanza poleni kwa msiba wa Mzee Kingunge. Niingie kwenye maada. Katika pita pita kwenye familia nyingi nimegundua kama familia (mke, mme) wakiwa na gari moja basi hilo gari mara nyingi litakuwa linatumiwa na mke. Wanaume wengi hawajali hivyo yeye ataamua kupata daladala. Shida nyingine inayoonekana kwenye jamii wanawake wengi wakiwa wanamiliki magari wanakuwa jeuri na viburi hawana heshima kwa waume zao. Mfano mzuri nilishuhudia jamaa yangu ndoa yao ilivunjika baada ya mkewe kununua gari tu. Ijapokuwa jamaa nae ana gari lake lakini mwanamke alianza jeuri. Je mchawi wa wanawake ni magari? Karibuni tujadili.
Mchawi ni huyo jamaa kutomnunulia gari mkewe..
 
Kuna hoja nzuri hapa. Kina mama ni lumbukeni wa magari japo huyachoka haraka sana kutoyapenda tena wakishayapata. Hii ni kinyume kwa wanaume, kadri anavyookaa na gari ndivyo anavyolevya na kushindwa kabisa kuliacha gari
Yaan umejuaje nami nimeichoka nataka nyingine kabisa.
 
Habari wana jamii! Kwanza poleni kwa msiba wa Mzee Kingunge. Niingie kwenye maada. Katika pita pita kwenye familia nyingi nimegundua kama familia (mke, mme) wakiwa na gari moja basi hilo gari mara nyingi litakuwa linatumiwa na mke. Wanaume wengi hawajali hivyo yeye ataamua kupata daladala. Shida nyingine inayoonekana kwenye jamii wanawake wengi wakiwa wanamiliki magari wanakuwa jeuri na viburi hawana heshima kwa waume zao. Mfano mzuri nilishuhudia jamaa yangu ndoa yao ilivunjika baada ya mkewe kununua gari tu. Ijapokuwa jamaa nae ana gari lake lakini mwanamke alianza jeuri. Je mchawi wa wanawake ni magari? Karibuni tujadili.
Mwanamke akishakuwa na uchumi mzuri ndivyo walivyo.........
 
Back
Top Bottom