witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
6Kati ya hizo una ipi?
6Kati ya hizo una ipi?
Hongera Kwa ndoto nzuri
Una uhakika?Wakati huo ww unatumia harrier
Rafiki wewe pia ile RAV4 yako huwa inakupa kiburi?Gari tamu nyie.. Sema inategemea na gari



Endelea kufikiria wote tunaota kama wewe...haaa haaa basi naendesha mkokoteni!...umefurahi?Hongera Kwa ndoto nzuri
Ili iweje?Ungetuwekea na bei mkuu
Chura!......mi sina RAV4, Namiliki Maserati, halafu kiburi kipi????Rafiki wewe pia ile RAV4 yako huwa inakupa kiburi?![]()
RAV4 yako naijua,siku ile ulikuja nayo kwenye mafunzo ya FOREX!Chura!......mi sina RAV4, Namiliki Maserati, halafu kiburi kipi????
We binti unaonekana unajua sana magariKwangu mimi, the most best cars are:
1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
Mbaya zaid wanawake hata aina za magari hawazijui. Hata ukiwa na vitz utawang'oa lukuki

Habari wana jamii! Kwanza poleni kwa msiba wa Mzee Kingunge. Niingie kwenye maada. Katika pita pita kwenye familia nyingi nimegundua kama familia (mke, mme) wakiwa na gari moja basi hilo gari mara nyingi litakuwa linatumiwa na mke. Wanaume wengi hawajali hivyo yeye ataamua kupata daladala. Shida nyingine inayoonekana kwenye jamii wanawake wengi wakiwa wanamiliki magari wanakuwa jeuri na viburi hawana heshima kwa waume zao. Mfano mzuri nilishuhudia jamaa yangu ndoa yao ilivunjika baada ya mkewe kununua gari tu. Ijapokuwa jamaa nae ana gari lake lakini mwanamke alianza jeuri. Je mchawi wa wanawake ni magari? Karibuni tujadili.
Mkuu hujanijibu sasa wakati anamletea mme wake nyodo...huyo Mme wake alikuwa anausafiri au hana kabisa?Chezea wanawake wewe, kuna mke wa jamaa yangu alinunua kisuzuki kidogo (nimekisahau jina) ila alivyokuwa anamletea mme wake nyodo ni hatari
Duuh! Wewe nomaKwangu mimi, the most best cars are:
1) Lexus LS 460
2)Cadillac CT6
3)Audi S8
4)Jaguar XJ
5)BMW Alpina B7
6)Maserati Quattroporte
7)Aston Martin Rapide S
8)Mercedes-Benz AMG S65
Ili iweje?