Wanawake na Kununa/Kususa

Tatizo lenu ndo hilo,
yaani unaona ukininyima hiyo starehe ndo umeniweza kweli,
Sasa ngoja nikwambie Merytina,
huwa kuna raha yake unapo do na mwenzio kakupa kinuno,
Wanaume wenzangu wanaweza sema hapa!!!!!!!!!!!

Mie simo kabisa akinuna napanga safari nikiwa huko atanisemesha tu lazima hata kama sisafiri kweli
 
Yaani we acha................ Kosa moja adhabu kibao.........
1. Atanuna
2. Hafui
3. Hakupi haki ya ndoa
4. Atakutukana
5. Hakujali
6. ATakushitaki kwa yeyote anayemdhani atakubadilisha
7. ......etc...........etc................etc...........

7. Hapiki
8. Hakunyooshei nguo
9. Hakupigii simu wala sms
10......................................
 
Okada naona hapa ndo pale ile post ya kutingisha vibiriti inaaingia kabisa....lol

Mara nyingi inakua tu kutaka attention ya huyo mwanaume, bahati mbaya sana
ni kua guys wanaweza vumilia siku za kwanza akakubembeleza kama ulivyo taka
then siku zikizidi kwenda hatimae anachoka and does not give a damn umenuna/susa...

Kununa kila saa na kususa yaani mara kwa mara ni moja ya qualities ambayo
humfanya mwanamke apunguze mvuto na mapenzi kwa mwenza wake ila bahati
mbaya saana wadada wengi tufanyao hivyo hatuelewi ilo suala...
Hahahahahaah! AshaD umenikumbusha kitu hapo kwenye bold, kuna wakati nilikuwa mjamzito nilikuwa nina tabia za kununa sana, basi nikawa nikinuna kama nimelala nae kitandani nahamia chini kwenye kikarpet nalala na yeye baada ya muda kidogo anakuja hapo chini tunalala wote huku ananibembeleza,
Sasa ikawa mazoea yangu nikikasirika naenda chini anakuja siku ingine nakubali kurudi kitandani na siku ingine nagoma na yeye hana budi kulala na mimi hapohapo mpaka asubuhi. Siku ya siku ikafika kama kawaida nikajinunisha nikalala chini, eeeeeh nikaanza kusikia mkoromo, nilivochungulia akawa amelala, yaani nikazidi kuvimba huku najifanya kupiga mihayo na kelele ili aamke wapi? baada ya masaa matatu mwenyewe niliamka chini nikajirudia kitandani tangu siku hiyo sikufanya tena na wala hatukuliongelea hilo lol!
 
lol...........lol...........lol...............lol..........

Gaga you have made my day.... Dah! Hapo kweli alikuweza, alafu ujauzito na kulala chini??
kweli ulikua na swaga... hahahahaha! Mi nikiwa na mimba chini... No! No! No!.... napenda raha wewe....lol
 
kama alivyosema Asha D hapo juu,
ukinuna basi siku ya 1 na ya 2 naweza bembeleza,
lakini kama mnuno utaendelea napotezea kiaina!!!!!!!!!!!!
Je midume inayonuna nayo ifanyweje? nina rafiki yangu mumewe huwa ananuna balaa, hivi mwanaume ukiwa umenuna kipindi hicho umenuna nani atakuwa anaongoza nyumba?
 
Wana JF, hebu nisaidieni. Kwa nini wanawake wengi huwa tunakawaida ya kuwanunia/kuwasusia wanaume/marafiki zetu? au ndio dalili ya mapenzi? Hii hata kwenye cinema utaiona sana, mwanamke anajifanya kununa/kususa na kuja na mkiwara mingi kama anataka kitu kwa mwanaume! Akikipata, basi utaona anacheka, anaona raha kubembelezwa kama mtoto!

Mbaya zaidi kwenye ndoa, hasa wa wale wenzangu wasiopenda kuambiwa ukweli, wale wanaojiona kuwa kila wakati wako sawa, basi wakirekebishwa/au kushauriwa na waume zao utawakuta wamevuta midomo hao! Kisa mwanaume hamsikilizi na kwa wanawake wengine, ni kama vile hawapendwi! mmh jamani hapo huwa nakwama, kwani mwanaume kukupenda ni yeye kukubakli kila unalosema wewe na akiwa tofauti basi umenuna? Mmh .....
Waambie bana!,mtu wala haumwi na jino bana anakuvimbishia mashavu.
 
lol...........lol...........lol...............lol..........

Gaga you have made my day.... Dah! Hapo kweli alikuweza, alafu ujauzito na kulala chini??
kweli ulikua na swaga... hahahahaha! Mi nikiwa na mimba chini... No! No! No!.... napenda raha wewe....lol
We acha tu swaga za mimba kila moja inakuja tofauti, ila hiyo mimba ilinitolea kali, unajua wale wanaouza juice kwenye ndoo kwenye vituo vya basi? mie nilikuwa napaki pale naenda nakunywa hata vikombe vinne au tano nachukua na ingine eti nikanywe home, heeee mume akaenda kumuuliza yule anatengenezaje akaja kunitengenezea nikagoma eti sio tamu lol, nikikumbuka nacheka sana na nikipita sasa hivi pale sehemu pa juice huwa najiuliza sana nilikuwa nashukaje wakati sasa hivi naogopa hata kukatiza vibaka
 
Gaga you are so real... mara nyingi stori zako hunifurahisha saana....
Lakini nimekuelewa, mimi nilipokua na mimba nilikua sitaki aondoke home
yaani ikiwezekana hata aombe ruhusa kazini but awepo and i was always so horny mpaka aibu...
Yani nilikua naona yeye ndo yeye na vitu vingine havifanyiki asipokuwepo... Dah! acha kabisa...
 
Hapo bold sasa niwe horny halafu ajifanye amechoka, kilio mpaka kunakucha tena sio kulia kilady, nalia kama mtoto na sauti inatoka, kesho yake nanuna. mh kununa huku sijui nani alianzisha
 
Bora yako wewe ulikuwa unataka uwepo wa mzee karibu,
sasa hao wanaonuna kisa ni ujauzito kazi kweli!!!!!!!
Namna hiyo ndo maana unakauta vidume kila kukicha,
vinadamka alfajiri, kurudi usiku mnene!
 
Lakini Gaga unaweka hiyo minuno yako,
kwakuwa wa kumnunia yupo karibu, na yeye actually ameiaccept hiyo minuno,
kwa wengine usithubutu kabisa kununa, utajuta!!!!!!!!
utapotezewa si kitoto!!!!!!!!!!
 
Na nyie wanaume huwa mnafanyeje sie kununa kawaida yetu.

Jamani yote tisa kumi akinuna mwanaume, he he..yani kuna mmoja nilikuwa nae yeye hata wiki inakata bado kanuna sababu ya kipuuzi!!..eti aliniambia kila mtu ana duration ya kununa, nikamuona kinda mana siyo mtoto..mwanaume gani full mnuno,aagrrrr!!
 
Hao wanaume wanaonuna BJ,
mnawaokotea wapi jamani?mwanaume hanuni bana!!!aaagrrrrrrrr!!!!!!!!!!!
 
Hivyo wanavyonuna baadhi ya wanawake, kuna wanaume baadhi pia wana mnuno kweli..tena imagine, mwanaume kanuna!!
Ila binafsi mnuno pia ninao, nikishakula full shangwe!!!
 
Hapo bold sasa niwe horny halafu ajifanye amechoka, kilio mpaka kunakucha tena sio kulia kilady, nalia kama mtoto na sauti inatoka, kesho yake nanuna. mh kununa huku sijui nani alianzisha

Naunga mkono asilimia mia.... Hata kula ilibidi aongeze that kipindi...
Hamna cha kusema he is tired..lol... hapo unamuuliza mimi nawewe nani kabeba mzigo...
 
Bora yako wewe ulikuwa unataka uwepo wa mzee karibu,
sasa hao wanaonuna kisa ni ujauzito kazi kweli!!!!!!!
Namna hiyo ndo maana unakauta vidume kila kukicha,
vinadamka alfajiri, kurudi usiku mnene!

Bacha usiombe akuchukie... waweza hama am telling you!!
 
We acha tu swaga za mimba kila moja inakuja tofauti, ila hiyo mimba ilinitolea kali, unajua wale wanaouza juice kwenye ndoo kwenye vituo vya basi? mie nilikuwa napaki pale naenda nakunywa hata vikombe vinne au tano nachukua na ingine eti nikanywe home, heeee mume akaenda kumuuliza yule anatengenezaje akaja kunitengenezea nikagoma eti sio tamu lol, nikikumbuka nacheka sana na nikipita sasa hivi pale sehemu pa juice huwa najiuliza sana nilikuwa nashukaje wakati sasa hivi naogopa hata kukatiza vibaka

Hii post yangu ya mwaka maana nakumbuka my wife alivyokuwa na mimba alikuwa anapenda vile vimishikaki vya vijiti vinavyouzwa stand kwenye vumbi na majivu kibao asipokula hivyo vi nyama ananuna nimekumbuka mbali sana ila sasa eti nikimkumbusha sasa hivi ananuna wanawake nyie
 
Bora yako wewe ulikuwa unataka uwepo wa mzee karibu,
sasa hao wanaonuna kisa ni ujauzito kazi kweli!!!!!!!
Namna hiyo ndo maana unakauta vidume kila kukicha,
vinadamka alfajiri, kurudi usiku mnene!

Na afadhari ya hayo..............Ni bora kudamka asubuhi na kuchelewa kurudi ili upunguze muda wa kuwepo home................ Bila unaweza ukajeruhi mtu................

AAAfff hivi ni kwanini wanawakwe huwa mna tabia ya kuwapigia simu wale wote waliompigia mumeo kwa vile tu namba zao hazijaseviwa kwenye simu ya mumeo...??? Kama si kupiga basi SMS za kukera na huku mtu aliyepiga hujui ni nani..???
 
Back
Top Bottom