Wanawake na Kioo.....!

af asipridhika anaanza kujitengenza hapo hapo..nishaona mtu anafanya ivo Mr Rocky
kuna watu ndo zao wakipita kwenye vile vioo wanajiangalia wanavyotembea au wanavyotikisika na kama unywele umekaa vizuri mwallu
 
Last edited by a moderator:
af asipridhika anaanza kujitengenza hapo hapo..nishaona mtu anafanya ivo Mr Rocky


Ningemtoa baru maana hapo anajidhalilisha bana
Au uko kwenye daladala mbanano wa haja mtu anatoa kioo anaaanza kujiremba
Dah ni shidaa
 
Hivi we babu Mtambuzi unatutafuta ubaya eehh?? huko kwenye barbershop zenu mbona mnajiangalia kweli kweli kama scrub limekutoa uonekane kijana?? uongo??
 
nchi huru hii..unamuacha tu yani
Ningemtoa baru maana hapo anajidhalilisha bana
Au uko kwenye daladala mbanano wa haja mtu anatoa kioo anaaanza kujiremba
Dah ni shidaa
 
aaah kio kina reflect.....mara ya mwisho kujiangalia kwenye kioo sijui lini mpaka nimejisahau,hivi mii ni binadamu kweli duh
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kwani kuna nini binamu@
kama ni Mtambuzi achana nae kwani tumeshamzoea huyo
usiku kucha akilala lazima afikirie wadada tu kukicha anatoa tamko lake

Ila huwa anawachokoza mseme ya kwenu ladyfurahia na si kwa nia mbaya

Binamu yangu.... kila siku lazima nichelewe kazini.
Namaliza vioo vilivyopo nyumba nzima.
Ila mwanamke shurti ujitazame jamanyyyyyyyy.

hahahah binamu Madame B angalia tuu usiwe unatumia na vya majengo mjini na vya daladala kujiangalia
 
Last edited by a moderator:
Tunajitama tukienda barber shop baada ya hapo no more tuna imagine tupo vile vile kama tulivyoondoka barber shop

Mmmmh sidhani
Ina mana hata ukichana nyele zako hujitizami? Au mwenzetu una upara
 
Binamu nyie mmezidi bana binamu lol mpaka vya kwenye magari yaani kama gari haina kile cha ndani mpaka side mirror mnatumia



Wako wengi sana binamu Chocs wanapita kwenye vioo vya town wanajiangalia

Mie mwenyewe natupiaga macho nikiwa natembea kwenye hizo korido!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…