Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
@ mr rockyMtambuzi umewachokoza ngoja niwaite na wengine hapa waje Madame B na Zinduna na Passion Lady na Paloma na Mamndenyi na cacico na gfsonwin na Blaki Womani na amu na Mwalu na Dena Amsi na snowhite na sweetlady na charminglady na ladyfurahia na Chocs na marejesho na Zion Daughter
Rabeka binamu nimekuja sasa.Mtambuzi umewachokoza ngoja niwaite na wengine hapa waje Madame B na Zinduna na Passion Lady na Paloma na Mamndenyi na cacico na gfsonwin na Blaki Womani na amu na Mwalu na Dena Amsi na snowhite na sweetlady na charminglady na ladyfurahia na Chocs na marejesho na Zion Daughter
Rabeka binamu nimekuja sasa.
kuna watu ndo zao wakipita kwenye vile vioo wanajiangalia wanavyotembea au wanavyotikisika na kama unywele umekaa vizuri mwalluaaah hapana bana..vioo vya kwenye majengo ni kujitia aibu asee
Kwendeni zenu........
Je ninyi me binamu?!...hakuna asiyejitizama ila tunazidiana tuu
Hii ya kujiangalia kwenye kata za vioo town hahahahaaaaa
Heaven on Earth njoo kipande hii please.