Wanawake na changamoto za kileo

Wanawake na changamoto za kileo

SERA YA MAPENZI kwa vipindi tofauti..!

MIAKA YA:
1986-1990.
NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!

MIAKA YA:
1991-1995.
NIMEKUBALI lakini namwogopa Baba na Mama watajua..!

MIAKA YA:
1996-2000.
NIMEKUBALI lakini sitaki kufanya mapenzi mpaka unioe..!

MIAKA YA:
2001-2005.
NIMEKUBALI lakini tutumie condom..!

MIAKA YA:
2006-2010.
PESA yako tu, maneno sitaki..!

Balaa iko hapa...!

MWAKA:
2011-2015.
NIMEKUBALI lakini haupo peke yako..!

Asalalee..!
TUMEKWISHA.

Yaani tumekwisha...!
Mtu anaambiwa hauko peke yako lakini yupo tu. Mie sielewi baadhi ya vidume wenzangu
 
Yaani tumekwisha...!
Mtu anaambiwa hauko peke yako lakini yupo tu. Mie sielewi baadhi ya vidume wenzangu

hitaji lako ni glass moja ya maziwa, ya nini ufuge ng'ombe uhangaike na adha zote za ufugaji?
 
Hahahahaha poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Wewe umempanga na yeye kakupanga vile vile tena zaidi yako.
Mfano tu.
1. Wewe una mnunulia demu simu, mwanaume mwenzio ana mtumia vocha
2. Unamrushia demu SMS love yeye anafoward kwa mwanaume mwenzio
3. Unamnunulia demu wako chupi mwanaume mwenzio anamvua
4. Unamuomba mfanye mapenzi japo kwa dakika kadhaa, mwenzio ana bembelezwa na demu wa kalale mpaka asubuhi hahahahahahahhah mpaka hapo nyie pia mnachangamoto:A S wink:

ila huu ukweli unaboa?!! Nikifikiria hapo tu nachoka kabisa
 
Mkuu umesahau na changa moto za wanaume.
.Unamhonga na yeye anahonga anakokujua.
. Unaamua kumuweka ndan lakn anaenda kuzaa na mwanaume mwingne na anakuuzia mbuz kwenye gunia
 
Toa na changamoto za wanaume, mimi naamini kuwa na wanaume nao wanachangamoto.Mfano hata uwe mhuni vipi hata kama ulidanganya wasichana wangapi,inapofika suala la kuoa lazima uchanganyikiwe tu maana unawaza hivi Amina akija kanisani kuzuia ndoa yangu itakuweje?Hivi mke wangu akijua kama nilikuwa natembea na machangu itakuweje.Lazima pia ukubaliane na mimi kuwa kwa mwanaume ambae akili yake ipo sawasawa lazima na yeye ana changamoto zake katika mahusiano

sure,,,,
 
Ni ukweli mchungu huo ila hata nyie wanaume mna changamoto.....hata wewe unaweza ukawekeza kwa mwanamke ukijua huyu ndo mama watoto unakuja kupata breaking news anaolewa na mtu mwingine
 
kuolea ni matokeo ya mwanamke kujiheshimu la sivyo utaendelea kuwa girl friend material
 
Dunia yaleo changamoto ni kwawote tu si wanaume wala wanawake, ila wahanga wakubwa ni wanawake kutokana na biology yao.
 
Back
Top Bottom