Wanawake na changamoto za kileo

Wanawake na changamoto za kileo

ha ha ha u ar misteken
nyie wenyewe mepangwa kwa folenn simtank hadi vidumu
tanesco,jenereta hadi mishumaa

unafkiri kiwango unachopewa cha papapuchi na mpenzio sawa na mwingine anavyopewa/??
anavyokuzugusha jua wenzio wanapewa free
anahonga wenzio wanapewa bure kisa aanamfikisha

kuna dume la outing..la pesa...la kupewa gegedo...achaa kabisa hii mambo

labda looser kwenye kuolewa mkuu

Baki njia kuu dada, ukimwi upo!
 
Mademu wengine bana..!!!
 
Gud,poleni eeh wanaume…
 
Umeonaeee yaani ni sheederrrr.. We acha tuu tupo katika wakati mgumu...Halafu ukihofu hivyo wenzako watampa na ukaamua kumpa anakuambia cheap...Sijui lipi jema sie..

Kuna wakati mimi kama mwanaume huwa nawahurumia sana wanawake, wanachangamoto nyingi na hasa hii ya mahusiano, hawana uamuzi wa mwisho, hata katika kuolewa mara nyingi anayefanya maamuzi ni mwanaume, mambo mengi mwanamke yeye anasikilizia tu matokeo, kama mchezo wa kubahatisha vile, unakuta mwanaume ana wanawake wengi, akitaka kuoa anaanza kuchambua, wakati huo mwanamke anadhani yeye ndo chaguo la kwanza kumbe la mwisho, poleni sana kina dada.

Leo nataka kuongelea changamoto ya kushiriki tendo la ndoa, inatokea mwanamke anatongozwa anakubali ila ikifika hatua ya mwanaume kutaka mavituzi hapo ndo mtihani unapokuwa kwa mwanamke, anabaki akiwaza nimpe au nisimpe, nikimchelewesha kuna wanawake wenzangu wao wanatoa tu na wengine hadi wanajiuza, nikimbania nitakuwa na uhakika gani hatapata mwanamke mwingine akampa?

Mwisho anaamua kumpatia mwanaume mlaghai tu kwa kuhofia akibana sana wenzake wanatoa, inakuwa kama mashindano, wewe ukikazania kuuza kwa bei ya juu wenzako wanapunguza bei.

POLENI SANA WANAWAKE.
 
Umeonaeee yaani ni sheederrrr.. We acha tuu tupo katika wakati mgumu...Halafu ukihofu hivyo wenzako watampa na ukaamua kumpa anakuambia cheap...Sijui lipi jema sie..

poleni sana dada illuh.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom