Wanawake, mwanaume hazoeleki ndio maana mnaachwa

Imagen umemuacha mtu nyumbani toka asubuhi hakuna kitu amefanya unarudi zako home upumzike unakuta chumba kichafu hajabadili shuka zaidi kaongeza nguo kitandani ukiuliza nini tiktok anacheka kabisa et hoo leo nimechoka wakati ni tabia yake hii imekaaje ase?

Kweli wahenga wapo sahihi usichukue mwanamke wa tiktok ukaweka ndani.
Sijui ulimuoa mkeo akiwa na miaka mingapi lakini kwa kijana wa kiume, mwanamke wa kuoa ni wa miaka 18-22 na umchukue moja kwa mona kutoka kwao. Miaka 23+ na wanawake wa geto sio wa kuoa. Hawa tayari akili zao zishakua corrupted na chaos na trends za mtaani

Vile vile mwanamke ana kawaida ya kupima limit ya mwanaume kwenye kila kitu. Sio kwamba hajui ilo jambo haulipendi isipokua anataka kujua limit yako. Ukipotezea leo kesho ataongeza kiasi mpaka ajue limit yako. Kwaiyo kama kitu haukipendi isifumbie macho. Piga marufuku hapo hapo tena kwa kumaanisha, sio kinyonge nyonge
 
Imagen umemuacha mtu nyumbani toka asubuhi hakuna kitu amefanya unarudi zako home upumzike unakuta chumba kichafu hajabadili shuka zaidi kaongeza nguo kitandani ukiuliza nini tiktok anacheka kabisa et hoo leo nimechoka wakati ni tabia yake hii imekaaje ase?

Kweli wahenga wapo sahihi usichukue mwanamke wa tiktok ukaweka ndani.
Sasa jamani kama she’s expecting, huenda trimester aliyopo inamsumbua mvumilie jmn mwee🤓
 
Sasa huyo umemuoa bila kuzungumza naye mambo haya?
Kaka mkubwa inaoneka umekaa sana uko nje mpaka kufikia hatua umewatengenezea picha wanawake wa uko wapo uniform na wanawake wetu huku.

Wanawake wenu uko wapo honest kwaiyo ni rahisi kuijui character yake hata kwa maongezi mafupi tu. Sisi huku wanawake wetu kile kipindi cha mwanzo wa mahusiano huwa wanaficha character zao.

Kwaiyo usifikiri jamaa alifanya makosa kwa kushindwa kumchunguza mkewe. Inawezskana alifanya home work lakini ndio hivyo tena kipindi cha mahusiano ya boyfriend and girlfriend huku kwetu wanawake wana-pretend sana(especially ukionyesha nia nzuri) ila ukishamuweka ndani hawezi ku-pretend milele, atakuonyesha tu character yake.

Wanaume ambao wanalalamika wake zao wamebadilika baada ya kuwaoa, sio wajinga.
 
Wanawake wanawajua sana wanaume wa kibongo kuwa mnapenda fantasy sio uhalisia, Ile kingdom-lifestyle ndio mnayo kichwani, na wenyewe wanapita humo humo.

Sisi tunaoishi uhalisia mnatuita red flag😅😅😅

Mimi nawaunga mkono waendelee kupretend hivyo hivyo. Na nafikiri siku wakiacha kupretend , ndoa zitakufa kifo cha mende 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom