Wanawake mwafa na makalio fake

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Nani aliwaambia wanaume wanataka makalio makubwa??? Endeleeni tu kukuza makalio. Unafikiri wanaume wanataka wanawake wenye makalio makubwa kwa ajili ya vivutio vya utalii.
Daktari akimuongezea makalio MTEJA wake
.
Nimeogopa kuiweka video baada ya kufanyiwa procedure.
 
Sasa makalio yako kwa tumbo? mbona hiyo mishindano yachomwa kwatumbooo?
 
Mmmh..yataka moyo mie akaah! Km huna huna tuu tabu yote ya nini kutiwa lisindano lote Hilo

Wanawake wenzangu hawa viumbe(wanaume ) kuwaridhisha ni ngumu tusijitese kwa kiasi hichi

Mungu tusaidie
 
love you
 
Nani aliwaambia wanaume wanataka makalio makubwa??? Endeleeni tu kukuza makalio. Unafikiri wanaume wanataka wanawake wenye makalio makubwa kwa ajili ya vivutio vya utalii.
Daktari akimuongezea makalio MTEJA wake
.
Nimeogopa kuiweka video baada ya kufanyiwa procedure.

nikiangalia video hii napata headache aghrrr ukitoka hapo unakaa utande upande
 
Back
Top Bottom