ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Dah inasikitisha kweli hivi hawezi kuchomwa utumbo wa m.avi...na lisindano lote hilo....duh
Kwan kosa letu lipo wapi,semeni mnataka makalio ya kuvalia kanga moko acheni kutuchomea.Wanaume ndo wakulaumiwa, yaan wanasababisha wanawake wanakua km vichaa.
Mungu anawaona
Ni sawa mkuu, basi acheni mabandiko ya kufagilia makalio labda na cc tutabadilika.Kwan kosa letu lipo wapi,semeni mnataka makalio ya kuvalia kanga moko acheni kutuchomea.
Sisi hatufagilii hyo mambo mkuu,kama mm ad leo najua kazi ya makalio makubwa ni ili kanga ikae vizur na kwenye zile show vumbi za uswahili cjui zaitwaje vile..ukikutana nalo lanogesha mbayaNi sawa mkuu, basi acheni mabandiko ya kufagilia makalio labda na cc tutabadilika.
nilipata kawivu kwa mbalii hilo neno nalipenda sana
Nafikiri hajakosea, anachomaanisha ni haya kutengeneza, huoni pichani anachofanyiwa huyo bidada?Mmh aisee hakuna watu vigeu geu kama wanaume. Mara inye kubwa ndio mpango mzima. Saiv tena unasema vingine
Me nimependa Id yakenilipata kawivu kwa mbalii hilo neno nalipenda sana

haaa haaaa bora umejua...Mmmh..yataka moyo mie akaah! Km huna huna tuu tabu yote ya nini kutiwa lisindano lote Hilo
Wanawake wenzangu hawa viumbe(wanaume ) kuwaridhisha ni ngumu tusijitese kwa kiasi hichi
Mungu tusaidie
Umeonaee..haaa haaaa bora umejua...
maana si muda utasikia vi english figure ndo vinatakiwa
Mwambie aache wivu. .wewe ni wake tuu.Me nimependa Id yake![]()
Nafikiri hajakosea, anachomaanisha ni haya kutengeneza, huoni pichani anachofanyiwa huyo bidada?
Mhhh ndio kwanza naskia kwakoKuna wanaume wanatoa kabisa hela mkewe au mpenzi wake akafanyiwe hivyo. Mwingine kazi kutoa masimango kwa mwenza wake kisa hana tako(utadhan wakati anatongoza lilikuwepo)matokeo yake ndio hayo kwenye video
Mhhh ndio kwanza naskia kwako
Natembea sana lkn huwa siangalii chura za watuTembea uone,yapo mengi zaid ya haya.
