Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua.
Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu.
Ulipofika wakati wa mahubiri, wote tukiwa tumekaa, mmoja wa wale wadada waliokaa mbele yangu akainama kama analalia magoti.
Kumbe sketi aliovaa ilikuwa imeshuka na tisheti yake ikajivuta kwa juu.
Ilikuwa kasheshe, bahati mbaya kabisa, pembeni ya sehemu niliyokaa kulikuwa na watoto na nyuma yangu zaidi kulikuwa na watu wazima walioona hiyo kadhia.
Mbaya sana kwakweli..