Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 278
- 447
Kina miss pablo wapo hawaombi ombi hela we kwanini una date na chuma ulete 😂😂😂Wakuu ni siku mpya, tumsgukuru Mungu kwa kuiona.
Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman.
Hawa watu ni wabinafsi sana na wamefanya mbususu kuwa kama cash guarantee.Wakuu ni siku mpya, tumsgukuru Mungu kwa kuiona.
Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman.
Wakuu ni siku mpya, tumsgukuru Mungu kwa kuiona.
Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman.
Hakupendi.Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona.
Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan
Toa pesa acha kulialia kama mtoto...mwanaume majukumu mwanamke kuhudumiwa kama humuwezi achana naye.
#MaendeleoHayanaChama
Kina miss pablo wapo hawaombi ombi hela we kwanini una date na chuma ulete [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli mchungu huu. [emoji23][emoji23][emoji23]Toa pesa acha kulialia kama mtoto...mwanaume majukumu mwanamke kuhudumiwa kama humuwezi achana naye.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzako wanasemaga 'hela ya mwanamke ni ya mwanamke, ya mwanaume ni ya familia. Kwani hujui?
Kingine, hela ya babe ni tamu sana, sielewagi kwanini. Hivyo basi hata kama unajua ana zake msichoke kutupa. [emoji23]
Cha mwisho huyo wako amezidi, ni chumaulete pro max. Mwambie tu hauko vizuri akikazania mwambie uliona balance yake.