The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,618
- 11,380
Mi Nina harrier uko wapi nkufuate
Mi Nina harrier uko wapi nkufuate
Suala la kupagawa na magari halina jinsiaKumekuwa na hii hali dada zetu hawataki kuanzisha mahusiano au kuolewa na wanaume wenye vipato vya chini. Wengi watakwambia wanataka wanaume wa maana wenye nyumba na magari
Muda mrefu nimekuwa najiuliza hivi hawaogopi au wamekubali tamaa zao ziwapelekee kujutia maisha yao yote?
Mzazi gani kapigana kajenga uchumi mzuri then aje aruhusu mwanae aolewe na mtu hueleweki, wapo wanaoruhusu lakini naamini ni shingo upande tu.Mkuu swala la wao kukimbila wenye magar na majumba au maisha mazuri ni kwa sababu wanatoka kweny family duni na maskini unafikir kama mwanamke kwao mambo swafi atahangaika na mali!? [emoji848]
Maana anajua hata akiolewq na mtu asie na mali baba yao atawapa mtaji au hata mali zenyewe ila sasa akitoka kweny family maskini lazima atafute mwenye mali ili kubadilisha hali sasa yy ni maskini harafu aolewe tena na maskini sasa hapo huoni ni maskini +maskini =fukara kitu ambacho sio poa hata mm ningekua mwanamke nisingekubali kuolewa na mtu maskini mwenzangu tena.. Never
Kwaiyo usiwalaumu wao sana we tafuta pesa mkuu acha lawama
UnyanyapaaTupe tafsiri sasa
Kumekuwa na hii hali dada zetu hawataki kuanzisha mahusiano au kuolewa na wanaume wenye vipato vya chini. Wengi watakwambia wanataka wanaume wa maana wenye nyumba na magari
Muda mrefu nimekuwa najiuliza hivi hawaogopi au wamekubali tamaa zao ziwapelekee kujutia maisha yao yote?
Huu uzi wengi hawajafungua akili na wachangiaji wengi hawaelewi naongelea ila ni muhimu sana kwa dada zangu kcheki afya kwanza kabla ya mambo mengi mana wengi wenye magari
Acha story wewe
HahahaWasio na mahari hawapati ukimwi?
Hauna point hapa, tafuta hela bwana acha kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wewe si king'ang'a!! a.K.a kingasti