Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
- Thread starter
- #41
Takwimu zipo hivyo wengi weye magari haya ya kutembelea Ukweli ndo huo japo wengine wataumia kwa hili watahisi ni unyanyapaa nawaomba tuvumiliane mana ni vizuri tuambizane ukweli kumekuwa na baadhi ya watu kusambaza kwa makusudi kabisa kwa mabinti wadogo sababu ya pesa zao na magari yaoWasio na magari hawapati ukimwi?
Hauna point hapa, tafuta hela bwana acha kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app