Sharp Observer
Member
- Apr 11, 2011
- 59
- 41
Habari ndugu zangu.
Juzi nilisafiri kwa basi toka arusha kuelekea mbeya kwa shughuli zangu binafsi. Tulifika makambako jioni jioni, dereva akasimama ili tuchimbe dawa halafu safari iendelee. Nikiwa napunga kaupepo kwa angalau dakika mbili, pembeni yangu nilimsikia mwanamke akimuuliza mtu kwenye simu, "Naomba please uniambie jina la ile dawa tunayotumia kuogeshea watoto tunapoanza kuchakachua". Dada huyu alionekana kuwa mjamzito. Akaendelea kuongea, then baadaye akakata simu tukapanda basi na safari ikaendelea. Tulifika Mbeya salama.
Sasa naomba wanawake wenye uelewa wa jambo hili wanifahamishe. Kwanza hiyo dawa inafanya kazi gani? Inaitwaje? je kuna madhara kwa mtoto pale mwanamke anapochakachua (kujamiana) na mwanaume aliyezaa naye au mwanaume mwingine zaidi ya mwanaume aliyezaa naye (kazi za nje)?
Nina hamu ya kutaka kujua jambo hili kwa undani.
NB: Naomba mwenye ufahamu anijulishe