Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

sasa kama mimi nikivaa kinguo changu kifupi napendeza,wewe mtazamaji inakuhusu nini,mwanamke kupendeza bana!kuolewa kusisababishe mtu kushindwa kujiweka vizuri!tusipovaa hivyo mume akikutana navyo anashawishika akhaaa!

passion lady upo sahihi kabisa...kwani kuolewa ndo kujivalia madera tu full tym jaman?

lol mi nikiamua kuvaa vyovyote ni poa as long as najisikia amani moyoni i dont care kabisa eti naangaliwa haaa...mtakomaje na kizazi hiki!
 
Last edited by a moderator:

Eti wake za watu,wakiwa rafu pia wanasema,navaa kitu roho inataka ili hata huyo mume akikutana navyo road anaona vya kawaida,mi hua nikivaa dera watu wananishangaa coz nishawazoesha kuvaa vitu vya dizaini hizo,anaenishangaa namuona mshamba tu,au sio little angel?kujizeesha hakunaga naw days!
 
mi kwanza hata nikiwa home kanga marufuku..yaani muda wote nipo chicha yy mwenyewe anakoma..kila siku ananiona mpya..

wanaume wana visa sana hawa my dear...lol sijui tuwafanyie kipi waridhike mioyo yao..kila tufanyalo kwao baya. passion lady waambie hatuachi mini ng'oooooo
 
Last edited by a moderator:
wameskia ngoja nirudie,Hatuachi min ng'ooo jamani,as far as tuna miguu ya biere au hata kama tuna miguu ya chupa ya gongo hatuachiiiiiiii!
copp;LITTLE ANGEL!
 
Uvae nguo fupi uwe na figure basi,wengine utakuna wameng'ang'ana na vimini miguu yenyewe kama fimbo ya pool.

kwani joto linawapiga wenye miguu mizuri peke yake?:madgrin:
 
Kwa maadili ya kitanzania nguo fupi hazileti picha nzuri znapovaliwa most especially na mwanamke aliye olewa coz anatakiwa kuwa mfano wa kuigwa.......so hakuna sababu ya mwanamke yoyote kuvaa nguo fupi, lakini ckuhizi imekuwa kama fashion so juc deal with those thatu can control and advice them kutovaa nguo fupi and the rest muachie Mungu.......
 
wameskia ngoja nirudie,Hatuachi min ng'ooo jamani,as far as tuna miguu ya biere au hata kama tuna miguu ya chupa ya gongo hatuachiiiiiiii!
copp;LITTLE ANGEL!

na hapa pia kijungu kinahusika sana kupendezesha kimini..lol passion lady watu lazima wageuze shingo.. sisi tunavaa ili tupendezeshe miili yetu jamani sio nyie mtutumbulie mimacho kama fundi saa..inahuu
 
Last edited by a moderator:
kwani joto linawapiga wenye miguu mizuri peke yake?:madgrin:

hapo chacha! mi siangalii chelewa..fito nondo au chupa ya bia..

sasa watasunbiri lini hiyo miguu inenepe ndo wavae mini...eeh
 
na hapa pia kijungu kinahusika sana kupendezesha kimini..lol passion lady watu lazima wageuze shingo.. sisi tunavaa ili tupendezeshe miili yetu jamani sio nyie mtutumbulie mimacho kama fundi saa..inahuu

haswaaa little angel umenena,mtt guu guu,inye usipime,y nisivae kimini?watajiju!unakuta jamaa kasahau kufanya kilichomleta katumbua mjicho ka mjusi kabanwa na mlango inahusu?akamnunulie na wa kwake kimini avae sio kutusema huku alaaa!
 
hahaaa..nakumbuka siku moja kuna mbaba alibamiza gari yake kwenye packing kwa kunishangaa na kimini changu..lol nilimshangaa sana..sasa utashangaa wangapi daily jamani!
 
passion lady ,nani amekuambia kuvaa nguo fupi kupitiliza?
'
Unayajua madhara ya kuvaa nguo fupi kwa watu na jamii inayokuzunguka?
'
Unajua unapovaa nguo fupi unaonekanaje kwa wanao na wewe unaathirika vipi?
'
Ukiyajua hayo ndo utajua jambo hili linanihusu kwa kiwango gani!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer hebu achana na vimini vya wanawake bwana...waache wapumue....

Kila kitu ulichosema hapo kuhsuu vimini, maadili, ufupi, urefu, unene...ni relative...so as long as hajavunja sheria ya nchi, waaache wapendezeshe jiji la mwanza....huenda watu wakaacha kugombea kuchinja.,😱hwell:
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ,i can't stand aside and let this go!
'
Kupendeza ndo kuvaa nusu uchi?
'
Hebu fikiria tu,ni kitu gani kinamfanya mwanamke alieolewa atembee maungo yake wazi?
'
Jiulize tu kwa uwazi bila kujiwekea mipaka!
 
Last edited by a moderator:
Kwani ni ufupi upi unaoongelewa hapa?kila viazi Lina sehemu yake so Kama mtu amevaa viazi ambalo ni la sehemu huskies na hajavunja amani haina shida kwani tz tunauhuru wa kuchagua cha kuvaa bila kuvunja Sheria za nchi.
 
Awe mfano wa kuigwa na nani?...kuna mahali popote kuna nukuu hii au umejisemea tu??
uige maisha/tabia za mtu zinakuhusu nini??
 
Nahisi uliwashangaa sana hao wadada mpaka wakakuchanganya hadi thread🙂)))
wapi imeandikwa kuvaa nguo fupi ni biashara?bidhaa?matangazo?mauzo?
 
Kwani ni ufupi upi unaoongelewa hapa?kila viazi Lina sehemu yake so Kama mtu amevaa viazi ambalo ni la sehemu huskies na hajavunja amani haina shida kwani tz tunauhuru wa kuchagua cha kuvaa bila kuvunja Sheria za nchi.

Mama timmy ningependa kujua umri wako!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…