Mi kuna mmoja niliona katuma msg moja kwa watu kumi aliwamark.Msg ilisema hivi my naomba 3000 nile jaman kwa my kumi.Sasa unadhani mwanaume utatuma sh ngapi kama sio alfu tano.
Nakusave jina lako kama unavyotambulika na Serikali ama la sikusave kabisa. Wa JF ndo naandika mbele JF. Ila mtaani aaah boss nakusave kama serikali tu