Binafsi tukakapokutana siku ya kwanza kabisa tunaonana ndiyo nitakavyokusave ...kama msibani nitaandika msiba......kama kwenye bus nitaandika bus kama ofisini nitaandika ofisi .....na itadumu hivyo
Kuna siku nipo kwny foleni bank simu ya mdada mbele yangu ikaita jina limetokea Lifemate nikasema kama ndio demu wako ukimhoji anakwambia huyu mfanyakazi wa pale Lifemate furniture
Nakusave jina lako kama unavyotambulika na Serikali ama la sikusave kabisa. Wa JF ndo naandika mbele JF. Ila mtaani aaah boss nakusave kama serikali tu