Habari za adhuhuri wapendwa!
Leo nidamka mapema kwa shughuli zangu za hapa na pale . nikaingia kwenye gari siunajua tena purukushani za hapa na pale nikapata siti eeee bana we !
Siti mbili mbele mdada mmoja kajitandazi kwenye siti kajaa vilivyo akanyanyua simu Yake nikaona sms profile Yake kuna jina kasevu KITOMBI2 . ANYWAY nilitamani ningekuwa karibu ningemuuliza alimaanisha nini ?
Hebu mpendwa tujuze ktk pita pita zako ulishangazwa na save IPI kwa simu
Sent using
Jamii Forums mobile app