Mbona mmbea hivyoUnamatatizo kichwani nenda kwenye profile see my Identity broh! Am that alpha male! And very gentle one!
Mbona mmbea hivyoUnamatatizo kichwani nenda kwenye profile see my Identity broh! Am that alpha male! And very gentle one!
😂😂😂kwakweli kichwa chake kitakuwa kizito sana
Mmezidisha kusapotiana mpaka jinsia zenu zikajulikanaAsante sana nami nakukubali mbaya mshkaji wangu, pamoja sana bro![]()



, wanaume hawasapotiani kwamdomo kiasi hiko. Hiyo women empowerment sasa

Yeah man..🤜🤛Poa bro haina noma, namba ileile?
😂😂😂 wanahangaika sanaMishangazi tunawacheka kizungu tu hao vijana wanaopaparika kwa Avatar na Majina mazuri![]()
Kumekuchaaaaa!!!Hao uliowatag unauhakika gani kwamba ni Wanawake?? Mjini hapa kuwa makini,




Huu muda unatoa wapi mkuu?? Unaweza kuta asilimia 50 ya uliowachunguza sio wanawake halisi bali ni wanaume. Usichukulie siriaz sana maisha ya mtandaoni inaweza ikakugharimu hata furaha yako



kwa kweli.Wengine hatutishi 😂Wengine wote jinsia yenu ya kiume hataki jamanimsinitishie Daktare wangu akafuta na jf kabisa
Waje wanikagueee, tena ntakuaa uchii wakague hadi ndani ya mwili wajue mfumo wa jinsia yangu.Watu wana wasi wasi na jinsi yake...![]()










hawezi bila kunitajaa huyo, itabidi nizoee tyuuh hakuna namna.Ewaaah sasa urafiki na nyie hataki jamaniii wengine mtamtisha aogope hata kuingia jf anaaogopa sanaa





wee dear nimekumbuka kitu acha nichekeeeeWengine wote jinsia yenu ya kiume hataki jamanimsinitishie Daktare wangu akafuta na jf kabisa





Shida sio kutisha sana shida Daktaree wangu hataki kabisa kuwaona jinsia meWengine hatutishi![]()
mbona kichwa chako kizito hivi
Hapana acha niawaache tu
wee dear nimekumbuka kitu acha nichekeeee
Cheka tu kipenzi maisha ndio hayahayaSi ni changu 😂Shida sio kutisha sana shida Daktaree wangu hataki kabisa kuwaona jinsia membona kichwa chako kizito hivi