Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Ewaaah sasa urafiki na nyie hataki jamaniii wengine mtamtisha aogope hata kuingia jf anaaogopa sanaaHapo nimekuelewa mama![]()
Ewaaah sasa urafiki na nyie hataki jamaniii wengine mtamtisha aogope hata kuingia jf anaaogopa sanaaHapo nimekuelewa mama![]()
Bro, ebu usisahau kunitumia ule mzigo kesho maoema sana tafadhali...☹️Mimi mwanaume Mkuu...
Weee apiadaktari huyo Mungu unaemuachia anakuona

Nimekupenda bure my dear Shunie, asipoelewa na hapo basi tena tumuachie Mungu tu![]()
kwakweli kichwa chake kitakuwa kizito sana😂😂😂😂Ile kibingwa kabisa baharia wangu, zimefika, mtoto anapika chapati tamu, kama anakuwa mtupu 😀😀😀😀 pamoja sana broh
Nacheka comment, mtoa mada katoka ndukiZimefanyaje
Sio kwa kukazia huku, nacheka kwa sauti hapaEwaaah sasa urafiki na nyie hataki jamaniii wengine mtamtisha aogope hata kuingia jf anaaogopa sanaa


Umefurahi mwenyewe 😅😅
Mashangazi tumemuharibia uzi wakeNacheka comment, mtoa mada katoka nduki
Wengine wapi hao sema mimi mhusika 😂Ewaaah sasa urafiki na nyie hataki jamaniii wengine mtamtisha aogope hata kuingia jf anaaogopa sanaa
Wewe tu ndio bado mkuu...😜Dah! Kumbe watu mpo serious sana humu JF kiasi hiki?
Am that till that day am gone believe it😂😂Dogo katafute hela.
Mashangazi tumemuharibia uzi wake


mashangazi hatunaga jambo dogo
Poa bro haina noma, namba ileile?Bro, ebu usisahau kunitumia ule mzigo kesho maoema sana tafadhali...☹️
Noo kiapo hapana mtego huoWeee apia![]()
Sio kwa kukazia huku, nacheka kwa sauti hapa![]()
Kwa nini wakutishe lakini wabaki na marafiki zao
Mashangazi tumemuharibia uzi wake
hakutegemea na uzi ametuachiaHuyo kayakanyagaNacheka comment, mtoa mada katoka nduki
Wengine wote jinsia yenu ya kiume hataki jamaniWengine wapi hao sema mimi mhusika![]()
msinitishie Daktare wangu akafuta na jf kabisa