Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Cheka mrembo wangu, kicheko ni tiba kamili. Acha tujichekee tu![]()
Hakuna namna baba yeyoo
Cheka mrembo wangu, kicheko ni tiba kamili. Acha tujichekee tu![]()
Hakuna namna baba yeyoo
Nimechekaaa mpaka mate,
Haina noma mwamba, salamu kwa Shem, muambie Mr. Kipwipwi nitakuja kwa ajili ya zile chapati zake za ufuta..!!
NyieeeeeeShega kabisa mwanangu, mama la mama nitamtoka kiaina. Kama vipi alfajiri nipandie hewani, wanaume kusapotiana hivi![]()
Nyie jamani mbona kama mnawapatia
Haina noma mkali wangu, ndiyo maana nakukubaligi kinoma, hunaga za kidemu..!!

Ni huzuni kwa kweli, mtu anajipinda kushusha mistari pm anaona haitoshi anakuja na hadharani kumbe dume lenzie linamchora tu![]()

Ni huzuni kwa kweli, mtu anajipinda kushusha mistari pm anaona haitoshi anakuja na hadharani kumbe dume lenzie linamchora tu![]()
Halafu akija hadharani sasa majibu anayopewa sasa ya kumkata maini ila wanaume wa jf wana moyo wa pekee mtu humjui hujui anafananaje unaanza kushusha mistari mpaka kuweka na thread
Namna ya nini tena Half
😂😂Nyie jamani mbona kama mnawapatia![]()
😂😂Nyieeeeee
Ndio dear, kisa cha kukutana na mtu ana mindevu imechachamaa kama brush ya chachandu nije kuota mie kitu ganiNimecheka kwa sauti dear

Ya kunikutanisha na daktari MariposaNamna ya nini tena Half
Ndio dear, kisa cha kukutana na mtu ana mindevu imechachamaa kama brush ya chachandu nije kuota mie kitu gani![]()
mbavu zanguUmeanza 😂Ndio dear, kisa cha kukutana na mtu ana mindevu imechachamaa kama brush ya chachandu nije kuota mie kitu gani![]()
Hivi umemuelewa kweli Dr mkareeee alichomaanishaYa kunikutanisha na daktari Mariposa

Ni huzuni kwa kweli, mtu anajipinda kushusha mistari pm anaona haitoshi anakuja na hadharani kumbe dume lenzie linamchora tu![]()

Nauli inaliwa alafu anakuja kulilia hapa
Anatuma na nauli![]()

Kamaanisha nini nieleweshe 😅Hivi umemuelewz kweli Dr mkareeee alichomaanisha![]()