Wanawake mnapovaa huwa mnamlenga nani hasa?

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Najua ni vizuri kushine ila kuna rafiki yangu amesema neno moja nkajiuliza mara mbili,ETI WOMAN ARE NOT WEARING CLOTHES TO GET MORE ATTENTION TO MAN BUT TO THE FELLOW WOMAN AROUND , I like the way woman dress,to me dress code of a woman is a key factor to get my seduction,is it tru for the above say?
 
I think kuna ukweli na pia kuna vice versa yake...women wanaovaa to get attention from men are not confident bcoz they dnt blv that they are beautiful till when they are told by men...and attention from fellow women is lyk competing s'thing which creates hatred btn them n wivu....the beauty of a woman is not a facial mole, or the way she dresses but inner beauty which is love indicated in her heart bcoz it is a place where love resides......
 
dressing up is about feeling good abt ourselves.different kinda dressing gives u confidence for different purposes.ndo maana kuna nguo za harusini,za usiku,za kulalia,za kazini etc.kama tunavaa ku-get attention from fellow women,we wouldnt dress up for sleeping dude!its abt what u feel inside when u dress up (including the perfume we wear). hizo comments and stares(from both men and women) zinaongezea chachu tu,bt kiukweli ni kwa ajili yetu wenyewe ndo maana unaweza vaa khanga moja tu na kujiskia umetoka
 
Always mwanamke yupo kwa kumvutia mwanamme, mavazi, staili ya mitindo ipo kwa ajil yetu wanaume!
 
mkuu,unamaanisha kwa mwanamke ambaye yuko committed (say,married) afu mumewe hayupo labda kwa safari ya kikazi.ina maana atavaa kuwavutia wanaume wengine, ama atakuwa rough tu kwa sababu hakuna wa kumuweka roho juu?
Always mwanamke yupo kwa kumvutia mwanamme, mavazi, staili ya mitindo ipo kwa ajil yetu wanaume!
 
kusema ukweli wa dada/wanawake wengi wanavaa ili wanawake wenzao wawaone wako matawi,
hata kama kitakachovaliwa kinalengo la kumvutia mwanaume lkn kina asili ya ushindani kwa wanawake wengine.
lkn sio wanawake wote wanavaa kwa kutaka kushindana.
mfano mm navaa kile kinachoipendeza roho yangu na kwa vile najijulia basi automaticaly nakua nimevaa kitu kinachoioa udende mibaba kila ninapopita...wink
 
nature nayo inasehemu yake kwenye mavazi ya kike. nimewahi kusikia kwenye TV program kuwa kwenye zile ovulation days mwanamke huvaa seductively bila ya yeye mwenyewe kujijua, ikiwa ni njia ya nature kuvuta partner ili zao lijibu.
 
Juu ya hii hoja; nimesoma kitabu cha Daktari wa akili za watu; Ana sema, Ukiona Mwanamke Kavaa sanaaa yaaani siku hio kajipamba sana,Yaani kavaa vituko vituko hata kama ni mke wa nyumbani lakini kamvalia mumewe zaidi ya kawaida, huyo yuko kwenye ule mzunguko wa KUBEBA mimba. Kwa hivyo usione ajabu ukipita njiani na kuona mwanamke kavaa hivyo, ujue yuko kwenye hio hali!!!!!!!!!!
 
duh...duh...duh
 
nyie ndo huwa mnabaka na kuishia shimo la tewa! wakati mwingine unawekwa roho juu tu labda (am just saying,lol)
Juu ya hii hoja; nimesoma kitabu cha Daktari wa akili za watu; Ana sema, Ukiona Mwanamke Kavaa sanaaa yaaani siku hio kajipamba sana,Yaani kavaa vituko vituko hata kama ni mke wa nyumbani lakini kamvalia mumewe zaidi ya kawaida, huyo yuko kwenye ule mzunguko wa KUBEBA mimba. Kwa hivyo usione ajabu ukipita njiani na kuona mwanamke kavaa hivyo, ujue yuko kwenye hio hali!!!!!!!!!!
 
Iko hivi mwanamke anavaa kutokana na mazingira yanayo mzunguka naanza nahili
* Mwanamke aliye single "hajaolewa" Na anakazi yake inamlipa hategemei mwanamume Huvaa kuwaonyeshea mafanikio ya kazi yake na uwezo wake wa kipesa!
*Mwanamke aliyeolewa huvaa kuwaonyeshea wanawake wenzao kuwa mme wangu ananivisha!
*Lakini kati ya hao wote kuna wanaovaa kuwavutia wanaumme wengini ili wawatake! Lakini hiyo nitabia za watu baadhi!
 
kama kuvaa inahusisha kuwaoneshea wanawake wengine,mbona tunawekeza sana tu kwenye underwears?tusifikirie bra ambazo zita-affect muonekano kwa nje,hata pants na nightie?Kakakiiza nakubaliana na ww on ur last pt!
 
una maana gani wanawake wanapovaaa?
au ulimaanisha wanapopendeza machono pako?

MAnake naona topic haina jibu moja, kama ailvyosema mmoja hapo juu.
Wanawake tunavaa kutegemeana na wakati, ila unavyotuona unajua mwenyewe, mimi mfano nikivaa suruale kwa kuwa nasafiri, sitaki bugudha ya sketi, wewe utaweza kuona nakutega, au ninapovaa hijabu utasema nakutega ili unfuatilie ndani nina nini,

Ila wanawake tunavaa ili
- kujisitiri na hali ya hewa na mazingira, mfano singlendi, sweater, suruale, nk
- kuweza kufanya shughuli inayotakiwa kwa ufanisi, mfano manesi, madereva, mafundi nk
- kuonyesha hisia za ndani mfano- niko kikazi zaidi, tafadhali niheshimu, tafadhali nunua hii bidhaa, tafadhali ona urembo wangu lakini niheshimu, usiniogope, japo mzuri sana lakini karibu, nk

Sasa wewe utaionaje singlendi yangu au hijabu yangu, kutokana na akili yako na umbo langu hilo swala jingine.
 
now your talking ... So ar u competing to catch the strongest man in a group??
 
Back
Top Bottom