Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,289
- 2,487
Big up bro... We ni soldier kamiliDeranged Society.
Ukiona mkeo anaharibika kisa kutiwa hio mipira na wanawake wenzake, basi ujue ulioa retired war veteran, bed to bed midfielder, ngono kante (Malaya).
Lingine Mkuu, Mambo ya wanawake waachie wenyewe, UTAPASUKA KICHWA. Acha watumie NYUCHI zao kwa namna wanavyoona wao inawapendeza.
Be a Man, Focus na ishu za msingi. Acha meli inayotaka kuzama izame.