Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Wala hata kitu original na hili ni tofautiDuh ni hatari sana, ke akishazoea hilo dude sijui utamridhisha na nn
Wala hata kitu original na hili ni tofautiDuh ni hatari sana, ke akishazoea hilo dude sijui utamridhisha na nn
Mkuu umezidi na hizi mada za Wanawake, achana nao hata kama wamekutia majeraja ya moyo. Kuendekeza kuwaanzishia uzi kila muda unapata msongo wa mawazo usio wa lazimaHabari ndugu zangu
Wanawake mlio amua kuishi na mabinti room moja iwe vyuoni , mitahani au popote pale kwenye nyumba za starehe , acheni kabisa kutuharibia wake zetu wa baadae hizi strap on zinawafanya wake zetu wawe sugu sana kiasi cha kupelekea kutuona sisi wanaume hatuna nguvu za kupiga dodoki
Maana huu ni usodoma na ghomora acheni kabisa hii dhambi mnatuharibia wake zetu kabisa
Huko ndiyo utapotea kabisa akija town anakua mwalimu mkuu wa shule ya strap on. Labda ukimpata ubaki nae huko huko poriniMimi naenda kutafuta mke kule kijijini kabisa, wanapoona gari na kuhisi labda wameona tembo.
Mkuu kuacha kusema ukweli ni kuongeza tatizo ndugu. Acha tuseme ukweli watu wa poneMkuu umezidi na hizi mada za Wanawake, achana nao hata kama wamekutia maharaja ya moyo. Kuendekeza kuwaanzishia uzi kila muda unapata msongo wa mawazo usio wa lazima
Ukweli utasemwa tuuh hata kama ni mchunguMkuu kuacha kusema ukweli ni kuongeza tatizo ndugu. Acha tuseme ukweli watu wa pone
utamu wa nyama umeujulia wapi wewe mtotoUtamu wa nyama ulivyo
Mtu anaenda kupigwa mti wa mabox
Kuna watu wanapenda kujinyima rahaa
Hii nimeona sana hii alafu Dar imekua km fashion fulani hivi, alafu hata hawajishtukii hata kidogoMADEMU wanaishi wawili
Mkuu mbona Salah hana sijdah na anaswali kila siku na ni mweupe? Lakini mane, keita, kipanya na juma nature ni mieusii na wana sijdah?Mkuu umezidi na hizi mada za Wanawake, achana nao hata kama wamekutia maharaja ya moyo. Kuendekeza kuwaanzishia uzi kila muda unapata msongo wa mawazo usio wa lazima
Hata matango na carrot zingepigwa marufuku kuuzwa mitaani na Pepsi piaHabari ndugu zangu
Wanawake mlioamua kuishi na mabinti room moja iwe vyuoni, mitahani au popote pale kwenye nyumba za starehe, acheni kabisa kutuharibia wake zetu wa baadae hizi strap on (mikanda ya kuvaa yenye maumbile ya kiume {uume}) zinawafanya wake zetu wawe sugu sana kiasi cha kupelekea kutuona sisi wanaume hatuna nguvu za kupiga dodoki.
Maana huu ni usodoma na ghomora, acheni kabisa hii dhambi mnatuharibia wake zetu kabisa.
Hapa mada ni strap au Wacheza Mpira ? 🤣🤣🤣Mkuu mbona Salah ana sijdah na anaswali kila siku na ni mweupe? Lakini mane, keita, kipanya na juma nature ni mieusii na wana sijdah?
Wewe sindo uliniambia, nikashikilia hapohapo.utamu wa nyama umeujulia wapi wewe mtoto
Hahaha Haha bana. Nimecheka balaaHapa mada ni strap au Wacheza Mpira ? 🤣🤣🤣
hatuelewani mkuu, tunaongelea nyama tofautiWewe sindo uliniambia, nikashikilia hapohapo.
Asahau kabisa flash yenye kumbukumbu ya uchafu wake alokuwa anafanyiwa[emoji848]Unaongelea kuharibiwa wake zenu wakati kuna mpaka ndugu zenu wa kiume wanavaliwa strap on.
Kuna jamaa alikuwa anahama kutoka kwenye apartments kuhamia nyumbani kwake alipojenga. Ili kupunguza makorokoro yasio na maana baadhi ya vitu aliviacha kwenye apartment na kuniambia niende nikaangalia kitachonifaa maana sio vyote vya ovyo.
Katika kuchambua chambua nilikuta kuna box moja la mbao ambalo baadae nilikuja gundua lilisahauliwa kimakosa.
Humo ndani kuliko na dildos, strap ons, vibrators ma vitu yanayotumika katika bondage sex kama pingu pia kulikuwa na flash kadhaa ambazo baada ya kuja kuziangalia kuna clip za kutosha jamaa akisuguliwa na mademu waliovaa strap on.
Na hakuwa yeye tu kulikuwa na file za kutosha za group sex ambazo alikuwa na wenzake wakifanywa na mademu wenye strap on.
Nilimpigia jamaa simu na kumuuliza nini maana ya huo upumbavu, jibu alilonipa ni kuwa as long as hafanywi na mwanaume yeye ni rijali bado. Baada ya hiyo simu na urafiki wenyewe uliishia hapo hapo.
Kwa sasa nasikia anaishi uholanzi na mke wa kizungu ambapo naamini yeye ndio mke na huyo mke ndio mume.
Utandawazi umetuletea matatizo tu.
Wewe unaongelea nyama gani kwanihatuelewani mkuu, tunaongelea nyama tofauti